Kweli Man shity ni small club yani moto yenu iko bado kwa kilatiniClubs MOTTO STATEMENTS...
View attachment 2169396
Motto wetu city ni "SUPERBIA IN PROELIO" thats a latin words means "PRIDE IN BATTLE"
Anthony Taylor from Manchester to referee Manchester City vs Liverpool with Paul Tierney on VAR,
Mtapigwa tu hata refa awe Pep
Hii line up ya kijinga kabisa [emoji53][emoji53][emoji53]
Sijui kwanini pep anamwamin ake kwenye game ngumu kama hizi aisee ....zincheko alitakiwa ....
Kukosekana kwa diaz,& walker wacha tu niseme pep kaamua kutuuza aiseee ....
Foden yupo on fire but hayupo ...[emoji22]
Hii game inamhitaji Sana Jesus daaa View attachment 2177108
Diaz ,walker ,foden itakuwa kawaweka kwa ajili ya Liverpool....but hii game hii daaa wacha tuone
Yaah ,but ake sijawahi mwamin kabisa kwenye game zenye pressure hivi ...!You mean Ruben Dias?
Sio kwamba jamaa ni majeruhi?
Acha woga wewe ingawa leo naona draw inanukiaHii line up ya kijinga kabisa [emoji53][emoji53][emoji53]