The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Clubs MOTTO STATEMENTS...

20220330_154127.jpg

Motto wetu city ni "SUPERBIA IN PROELIO" thats a latin words means "PRIDE IN BATTLE"
 
And on Sunday Liverpool is going to rape you again there is no chance that you are going to win either EPL or UEFA.
 
Anthony Taylor from Manchester to referee Manchester City vs Liverpool with Paul Tierney on VAR,
Mtapigwa tu hata refa awe Pep
 
Kusema kweli mkuu kwa Liverpool,wacha tu muda ufike ,Hawa jamaa sijawahi kuwachukulia poa kabisa ...!
 
Leo atletico inatakiwa tupate aggregate ya kuanzia goli 2+ ,...wanacheza Sana rafu na tectnical foul ,...wanajua kuharibu mbinu hasa kwa timu inayoposses mpira ....yasije kutukuta yaliyomkuta Liverpool
 
Hii line up ya kijinga kabisa [emoji53][emoji53][emoji53]

Sijui kwanini pep anamwamin ake kwenye game ngumu kama hizi aisee ....zincheko alitakiwa ....

Kukosekana kwa diaz,& walker wacha tu niseme pep kaamua kutuuza aiseee ....

Foden yupo on fire but hayupo ...[emoji22]

Hii game inamhitaji Sana Jesus daaa
mancity_mcfc-20220405-0001.jpg
 
Dias ,walker ,foden itakuwa kawaweka kwa ajili ya Liverpool....but hii game hii daaa wacha tuone
 
We kenge naona una lalama tu ata kabla ya shoo kuanza. Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie
Hii line up ya kijinga kabisa [emoji53][emoji53][emoji53]

Sijui kwanini pep anamwamin ake kwenye game ngumu kama hizi aisee ....zincheko alitakiwa ....

Kukosekana kwa diaz,& walker wacha tu niseme pep kaamua kutuuza aiseee ....

Foden yupo on fire but hayupo ...[emoji22]

Hii game inamhitaji Sana Jesus daaa View attachment 2177108
 
Acha woga wewe ingawa leo naona draw inanukia

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom