The Manchester City (The Citizens) | Special Thread


uwa unaangalia game za city kweli ww unasema Ake ajui bolu[emoji15]
 
Huu ukuta wa atletico bila kupiga shots za mbali sioni tunawafunguaje Hawa....!
 
Ake Bado Sana mkuu ,labda tunatofautiana kuangalia mpira ...!
Hivi kimbe huu uzi upo pekeyako? Ndio maana huwa unakuja uzi wa Liverpool kujifariji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa performance ya Leo hao Liverpool waje kudadekii watajuta [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ake anababaika akiwa na mpira. Hana uwezo wa kupenya kwenda mbele. Akiwa na mpira akifuatwa hakawii kupiga nje. Ake uwezo mdogo
Nawashangaa sana,Mimi nikimuona ake game mhimu kama hizi daa nabaki naomba asipasiwe hata mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…