Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Mwenye link ya mechi ya leo aweke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii line up ya kijinga kabisa [emoji53][emoji53][emoji53]
Sijui kwanini pep anamwamin ake kwenye game ngumu kama hizi aisee ....zincheko alitakiwa ....
Kukosekana kwa diaz,& walker wacha tu niseme pep kaamua kutuuza aiseee ....
Foden yupo on fire but hayupo ...[emoji22]
Hii game inamhitaji Sana Jesus daaa View attachment 2177108
You mean Ruben Dias?
Sio kwamba jamaa ni majeruhi?
Yukogi bize kuzurula majukwa ya timu zenginehuyuu jamaa sijui hata kama anaifatiliaga timu yake
Ake Bado Sana mkuu ,labda tunatofautiana kuangalia mpira ...!uwa unaangalia game za city kweli ww unasema Ake ajui bolu[emoji15]
Dias ni kwa ajili ya Liverpool mzee injury updates ya mwisho ilikuwa game against Burnley Sasa mpaka jumapili vs Liverpool lazima atakuwa fithuyuu jamaa sijui hata kama anaifatiliaga timu yake
Nyie chezeni,kombe letu Liverpool hiliHuu ukuta wa atletico bila kupiga shots za mbali sioni tunawafunguaje Hawa....!
Hivi kimbe huu uzi upo pekeyako? Ndio maana huwa unakuja uzi wa Liverpool kujifariji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ake Bado Sana mkuu ,labda tunatofautiana kuangalia mpira ...!
Daaah [emoji848]Nyie chezeni,kombe letu Liverpool hili
Sasa kama kombe la Liverpool si wachukue[emoji23][emoji23]Daaah [emoji848]
Daaah kweli nimeamin man shit NI TATIZO,[emoji1787][emoji1787][emoji12]Kwa performance ya Leo hao Liverpool waje kudadekii watajuta [emoji23][emoji23][emoji23]
Nasema hivi city saizi ni firee huyo Liverpool kitamkuta kitu kizito kichwani [emoji23][emoji23][emoji23]Daaah kweli nimeamin man shit NI TATIZO,[emoji1787][emoji1787][emoji12]
Ake anababaika akiwa na mpira. Hana uwezo wa kupenya kwenda mbele. Akiwa na mpira akifuatwa hakawii kupiga nje. Ake uwezo mdogoAke Bado Sana mkuu ,labda tunatofautiana kuangalia mpira ...!
Nawashangaa sana,Mimi nikimuona ake game mhimu kama hizi daa nabaki naomba asipasiwe hata mpiraAke anababaika akiwa na mpira. Hana uwezo wa kupenya kwenda mbele. Akiwa na mpira akifuatwa hakawii kupiga nje. Ake uwezo mdogo