The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ake anababaika akiwa na mpira. Hana uwezo wa kupenya kwenda mbele. Akiwa na mpira akifuatwa hakawii kupiga nje. Ake uwezo mdogo

Yes,
Jamaa bado hajawa vizuri, hata upande wake haukuwa na mashambulizi ya maana kwenda mbele kama upande wa Cancelo.

Game ya jana ilimuhitaji Zinchenko kwenye mbavu ya kushoto.
 
squad rotation atajiamini vipi ikiwa hachezeshwi?

Sio Hilo tatizo ,ake Hana ball control,one vs one hapa ndio ndio utaona udhaifu wake ...! Kupiga penetration pass na accurate long ball hawezi Sasa hapa inakuwa mbaya ...zincheko akiwa fit vs ake Mimi namchukua zin...
 
Nyie Man shitye ni takataka TU ..nyie munaweza kumpiga Real Madirid kweli?
 
Hawa atletico walikuja kutafuta draw Sasa wamekutana na kitu kizito ....!


Wacha saizi to focus na Liverpool
Kitu kizito, goli Moja?

Goli ambalo dk ya 70 linaweza kufungwa na Aggregate ikasoma 1:1,dk 90+ linaongezwa lingine ubao ukasomeka 2:1,hapo umekwisha!
Lolote linaweza kutokea.

Tusubiri tuone,Kocha atakae mzidi mwenzake mbinu hiyo jumatano ndiye atakae songa hatua inayo fuata.
 
Atletico kwa mfumo wao ule hawana uwezo wa kupiga come back kabisa [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…