Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ake anababaika akiwa na mpira. Hana uwezo wa kupenya kwenda mbele. Akiwa na mpira akifuatwa hakawii kupiga nje. Ake uwezo mdogo
wewe Diaz Ni mgonjwa two weeks a headDias ni kwa ajili ya Liverpool mzee injury updates ya mwisho ilikuwa game against Burnley Sasa mpaka jumapili vs Liverpool lazima atakuwa fit
squad rotation atajiamini vipi ikiwa hachezeshwi?Nawashangaa sana,Mimi nikimuona ake game mhimu kama hizi daa nabaki naomba asipasiwe hata mpira
squad rotation atajiamini vipi ikiwa hachezeshwi?
wewe Diaz Ni mgonjwa two weeks a head
Hawa atletico walikuja kutafuta draw Sasa wamekutana na kitu kizito ....!
Nyie Man shitye ni takataka TU ..nyie munaweza kumpiga Real Madirid kweli?
Kitu kizito, goli Moja?Hawa atletico walikuja kutafuta draw Sasa wamekutana na kitu kizito ....!
Wacha saizi to focus na Liverpool
Atletico kwa mfumo wao ule hawana uwezo wa kupiga come back kabisa [emoji23][emoji23]Kitu kizito, goli Moja?
Goli ambalo dk ya 70 linaweza kufungwa na Aggregate ikasoma 1:1,dk 90+ linaongezwa lingine ubao ukasomeka 2:1,hapo umekwisha!
Lolote linaweza kutokea.
Tusubiri tuone,Kocha atakae mzidi mwenzake mbinu hiyo jumatano ndiye atakae songa hatua inayo fuata.
Jamaa yako inaonekana sio shabiki wa mpira ni mfata mkumbo wa mashabiki wa City [emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe Diaz Ni mgonjwa two weeks a head
Wewe umempiga? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie Man shitye ni takataka TU ..nyie munaweza kumpiga Real Madirid kweli?
Kwa performance ya Leo hao Liverpool waje kudadekii watajuta [emoji23][emoji23][emoji23]