Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
18:30Saa ngapi hii game?...
ile nafasi ya mwisho angepika mpira wa chini game tungemaliza mapema kabisa ......vilio vingebaki kwa Liverpool [emoji28][emoji28][emoji28]Mahrez amenikwaza sana
kuchukua hiki kikombe bila kuwanyoa majogoo hainogi, last season alikufa nne safi tuHawa Liverpool ipo siku tutawachakaza magoli ni swala la muda tu..!
Aisee Liverpool anabahati Sana ,hajaamini kabisa alichokutan nachoVip ninyi kunguni mmeshinda?