Mmepigwa na Madrid bao 3, timu bora msimu huu uingereza ni liver hadi sasa maana ipo kwenye race za makombe yote iliyoanza kuyatafuta msimu huu,Ninyi dawa yenu inachemka, mutaita maji mma ..subiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmepigwa na Madrid bao 3, timu bora msimu huu uingereza ni liver hadi sasa maana ipo kwenye race za makombe yote iliyoanza kuyatafuta msimu huu,Ninyi dawa yenu inachemka, mutaita maji mma ..subiri
Sisi tutapindua meza mapema sana subiri uone kitakachotokea. Halafu Sasa tutataka tukutane na nyie kuku..Mmepigwa na Madrid bao 3, timu bora msimu huu uingereza ni liver hadi sasa maana ipo kwenye race za makombe yote iliyoanza kuyatafuta msimu huu,
Tulikupiga 11 juzi tu huna loloteSisi tutapindua meza mapema sana subiri uone kitakachotokea. Halafu Sasa tutataka tukutane na nyie kuku..
#CFC💙💙💙
Wacha tuone mwisho wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91]
Karibu sana hapa kwetu ni mwendo wa msako mwanzo mwisho.Shabiki mpya wa city
Nimehama kutoka like timu la mchongo linaloongozwa na mpachika mabao magwaya
NaelewaKaribu sana hapa kwetu ni mwendo wa msako mwanzo mwisho.
Hahahahaaaaaaaa!umeepukana na gonjwa la kisukali huko aiseeNaelewa
Timu inshinda presha hakuna
Kule Kwa kina magwaya hapana
Buyern kashaondoka mapema ....! CL ni uchawi aisee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana huwa anajipitisha pitisha na kanga moja kwenye uzi wa wenzie [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tutamvusha sisiDah pamoja na man shit kufanya vizuri hila huu uzi yupo Pain killer tu mwenyewe anajichekesha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana huwa anajipitisha pitisha na kanga moja kwenye uzi wa wenzie [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tutamvusha sisi