The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Felipe alitaka kumuua mtu, alitaka mchezeshea kichapo Phil foden [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walishindwa kucheza mpira wakaanza kucheza ngumu atletico....foden ni bonge la player Felipe kaonekana kilaza tu ,that is football lakin majitu makubwa ni kucheza rafuu tupu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Felipe kamfata Foden amburuze kama alivyo buluzwa gadafi [emoji1787][emoji1787]
 
.
mancityworld-20220414-0001.jpg
 
Back
Top Bottom