Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Nenda kawape hio penalty Sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wa simeone wameonewa nikiangalia kulikuwa na penalty lakini wapi duh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kawape hio penalty Sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wa simeone wameonewa nikiangalia kulikuwa na penalty lakini wapi duh!
Timu yako ipo wapi ,kazi kuchekelea wanaume tunatinga semi final ...!Man city wanapigwa hamsha hamsha balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787], mkishinda ni bahati
Mmebebwa batamaji nyie [emoji1787][emoji1787]Nenda kawape hio penalty Sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Liverpool huijui wewe?Timu yako ipo wapi ,kazi kuchekelea wanaume tunatinga semi final ...!
Hivi nyie ile ni CL au Europa .....unacheza na kina benafica unasema ni uefa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani Liverpool huijui wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kawape wee hiyo penalty. Tushazama semi finalVijana wa simeone wameonewa nikiangalia kulikuwa na penalty lakini wapi duh!
Felipe alitaka kumuua mtu, alitaka mchezeshea kichapo Phil foden [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Atletico wanacheza mpira wa kupanic ,nguvu nyingi kuliko akili ndio maana wanakulaga red card SanaHao mbona kawaida yao tulivyocheza nao mechi zote mbili walikula red.
Walishindwa kucheza mpira wakaanza kucheza ngumu atletico....foden ni bonge la player Felipe kaonekana kilaza tu ,that is football lakin majitu makubwa ni kucheza rafuu tupu [emoji23][emoji23][emoji23]Felipe alitaka kumuua mtu, alitaka mchezeshea kichapo Phil foden [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Felipe kamfata Foden amburuze kama alivyo buluzwa gadafi [emoji1787][emoji1787]Walishindwa kucheza mpira wakaanza kucheza ngumu atletico....foden ni bonge la player Felipe kaonekana kilaza tu ,that is football lakin majitu makubwa ni kucheza rafuu tupu [emoji23][emoji23][emoji23]