verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
hawa wakwetu mbona basi tu yule mpuuzi kaamua kutucheleweshaile nafasi ya mwisho angepika mpira wa chini game tungemaliza mapema kabisa ......vilio vingebaki kwa Liverpool [emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu acha tu ,game ya Leo ilikuwa upande wetu ,tumeshindwa kuiua mapema ....nafasi kibao tumetengenezakuchukua hiki kikombe bila kuwanyoa majogoo hainogi, last season alikufa nne safi tu
Next week tunao fa .....kama tutaingia na moto kama wa Leo ...tunamtoa fahawa wakwetu mbona basi tu yule mpuuzi kaamua kutuchelewesha
This is our cityShabiki mpya wa city
Nimehama kutoka like timu la mchongo linaloongozwa na mpachika mabao magwaya
Jitoe ufahamu tu eti tunamtoa fa labda kama unacheza na Manchester united.Next week tunao fa .....kama tutaingia na moto kama wa Leo ...tunamtoa fa
Huna timu kijana ...Jana mlikuwa na bahati tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Jitoe ufahamu tu eti tunamtoa fa labda kama unacheza na Manchester united.
Baada ya kushindwa kumfunga liver mmehamia kwenye saaHii sawa aliyovaaa pep Ina gharama ya $600,000 sawa na billion 1.3 za kibongo [emoji1787]View attachment 2183365
Jumapili piga hizi kuku BAO tatu Safi .. halafu tukutane Wembley nikukule ππAisee Liverpool anabahati Sana ,hajaamini kabisa alichokutan nacho
Duuh hatari sana MzeeπππHii sawa aliyovaaa pep Ina gharama ya $600,000 sawa na billion 1.3 za kibongo [emoji1787]View attachment 2183365
Ninyi dawa yenu inachemka, mutaita maji mma ..subiriBaada ya kushindwa kumfunga liver mmehamia kwenye saa