The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Jesus alikuwepo hakuna na injury yeyote na alikuwa bench,labda pep alimuweka kwa ajili ya Liverpool....kesho tunaweza kumuona anaanza
Ooooh hapo sawa, ila KDB Awepo jaman kesho jaman, nimeanza kuogopa km hatakuwepo lol.
 
Pep Guardiola on De Bruyne’s injury:

“It is stitches in his calf. It is not a muscular injury.”

De Bruyne is still out of tomorrow’s semi-final against Liverpool
 
Ubingwa hamtauchukua kamwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]DAIMA mto hupita katika njia zake....[emoji1787][emoji1787]unaweza kuta nottingham forest akaja kuchukua CL kabla yenu[emoji1787]kwakua tayari njia alishaitengeneza[emoji1787][emoji1787]maana ALISHALIZOEA KOMBE
 
Hili kombe MWAKA huu NI LIVERPOOL AU MADRID[emoji1787][emoji1787]KWAKUA NDIO KOMBE LAO WAMELIZOEA....
Eti Villarreal eti man city hahahahaha endeleeni kuota,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani tatizo lipo wapi huyo Nottingham forest akichukua CL ,kwanza alishachukua enzi hizo hata haijaitwa CL [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hili kombe MWAKA huu NI LIVERPOOL AU MADRID[emoji1787][emoji1787]KWAKUA NDIO KOMBE LAO WAMELIZOEA....
Eti Villarreal eti man city hahahahaha endeleeni kuota,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lengo la city ni kuburuza epl mpaka iwe Farmer league ,hatuna lengo na CL ,kama likija lenyewe sawa ila our target is epl ,upo wewe kilaza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Lengo la city ni kuburuza epl mpaka iwe Farmer league ,hatuna lengo na CL ,kama likija lenyewe sawa ila our target is epl ,upo wewe kilaza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kilaza kivipi Sasa?kilaza Ana CL 6 ?AU KILAZA NI YULE MWENYE CL 0?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ETI lengo LAKO NI EPL?wakati sheikh mansour analiota kombe la CL..[emoji1787][emoji1787]acha ukilaza MKUU[emoji1787][emoji1787]
 
Hizo CL 6 hazina msaada wowote kwetu ,pambana na hali yako sawa mzeee[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kilaza kivipi Sasa?kilaza Ana CL 6 ?AU KILAZA NI YULE MWENYE CL 0?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ETI lengo LAKO NI EPL?wakati sheikh mansour analiota kombe la CL..[emoji1787][emoji1787]acha ukilaza MKUU[emoji1787][emoji1787]
Huyu dogo ni shabiki maandazi ajui Pep aliletwa city kwa ajili ya UEFA

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
So far Pep ni failure hapo city makombe yote aliyoshinda hata Mancini na Pellegrini waliyabeba

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Kama ni failure saizi tungekuwa nafasi ya saba huko tunaitafuta top ,usiwe mjinga ,kushindwa kuchukua CL ndio kufail ?

Sikuelewi kabisa unamaanisha Nini mzee [emoji28] ...CL sio kigezo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…