Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Game imeisha hii! Kwa tabu na kupania ikiwa atawaingiza wachezaji wake wote basi itaishia 2 - 3
Hii game kama vile wachezaji wamemgomea Pep na wanacheza kukamilisha ratiba ....kashawambia labda tufocus na epl
Mgeshinda mngejipongeza mnaona mmefungwa unatafuta tundu la lawamaKipa kawapa zawadi ya goli
Mimi binafsi naona ni sawa ,tutarudi na nguvu zotee epl........Leo Pep na City nzima kwa ujumla inaonekana hawakuwa na mzuka na hii mechi, hata sub kafanya moja tu wakati majembe mengi ya maana yalikuwa nje.
Pamoja na hayo lakini bado tumefanya makosa kibao na mpinzani wetu ametuadhibu.
1.Kipa bado sio mzuri kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma kama Ederson.
2.Ndihno muda wake umefika tamati, kapoteza mipira kadhaa na faulo za kijinga.
3. Sterling na Mwenzie Jesus waache uchoyo.
4. Greelish tumepigwa
5. Zinchenko naona hana game-time
Naimani Pep amefanya maamuzi sahihi kwa ajili ya mechi muhimu mbeleni.
Mzee vip unatuletea makisriko na mikeka yako iliyochaniko huko [emoji28]...kila timu Ina mipango yake kama huyo Liverpool ni nomaaa ,sijui hatari kimpango wake na match zake huko .,...!Mgeshinda mngejipongeza mnaona mmefungwa unatafuta tundu la lawama
Liverpool linapofika suala la nockout hama mzaha fuatilie uone rekodi zake
Uefa ya nyuma alikufunga nje ndani
Chelsea kazabwa Mara mbili
Huna Cha kujitetea s mnasema mnakikosi kipana kwamba anayeingia Kama anayetoka
Leo mnawakataa wachezaji wenu
Mimi binafsi nasema Liverpool hajakutana na city ikiwa kwenye moto ..... Liverpool ni timu ya kawaida SanaLiver mwepesi sana kwa city sema kipa ndo katuchomesha mahindi.
Hongereni bhana, ila mapambani bado yanaendelea.Mtajua hamjui[emoji23]
Kwan leo Pep kafanyaje? AaaaahKwa hiki kikosi mmmmmh[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2189743
Hahaaa ...!Kwan leo Pep kafanyaje? Aaaaah
Yaan nmeumia mnoo.
Simngetupiga nje ndani sasa? Mnaumoto gani kama mechi zote Epl tumetoa draw?Mimi binafsi nasema Liverpool hajakutana na city ikiwa kwenye moto ..... Liverpool ni timu ya kawaida Sana
Simnakikosi kipana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaaa ...!
Wacha tufocus epl tu ,kaamua kupumzisha wachezaji mhimu ili turudi na nguvu epl ,......point moja tunaweza kubeba epl
Steffan kawazawadia goli moja mnaanza kujisifu [emoji28][emoji28][emoji28]Simnakikosi kipana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Masikini kumbe umeumia dah Hawa Liverpool wana roho mbayaKwan leo Pep kafanyaje? Aaaaah
Yaan nmeumia mnoo.
Etihad hakupumzisha wachezaji mbona hamkushinda sasa Hii ndio LIVERPOOL THE REDS na tunawaka Uefa final kenge nyie.Hahaaa ...!
Wacha tufocus epl tu ,kaamua kupumzisha wachezaji mhimu ili turudi na nguvu epl ,......point moja tunaweza kubeba epl
Kwan fa yenyewe mmeshachukua ....Etihad hakupumzisha wachezaji mbona hamkushinda sasa Hii ndio LIVERPOOL THE REDS na tunawaka Uefa final kenge nyie.