The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hii game kama vile wachezaji wamemgomea Pep na wanacheza kukamilisha ratiba ....kashawambia labda tufocus na epl

Mhh!
Yaani wewe kabisa una amini beki za kati Stones, yake na Fernandiho ndiyo wawakabe akina Mane?

Baada ya bao la 3 Liva wakawa easy sababu game iliisha na wakawa wanajiandaa na mechi ya Jumanne na Man U
 
Kipa kawapa zawadi ya goli
Mgeshinda mngejipongeza mnaona mmefungwa unatafuta tundu la lawama

Liverpool linapofika suala la nockout hama mzaha fuatilie uone rekodi zake

Uefa ya nyuma alikufunga nje ndani

Chelsea kazabwa Mara mbili

Huna Cha kujitetea s mnasema mnakikosi kipana kwamba anayeingia Kama anayetoka
Leo mnawakataa wachezaji wenu
 
Leo Pep na City nzima kwa ujumla inaonekana hawakuwa na mzuka na hii mechi, hata sub kafanya moja tu wakati majembe mengi ya maana yalikuwa nje.

Pamoja na hayo lakini bado tumefanya makosa kibao na mpinzani wetu ametuadhibu.

1.Kipa bado sio mzuri kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma kama Ederson.
2.Ndihno muda wake umefika tamati, kapoteza mipira kadhaa na faulo za kijinga.
3. Sterling na Mwenzie Jesus waache uchoyo.
4. Greelish tumepigwa
5. Zinchenko naona hana game-time

Naimani Pep amefanya maamuzi sahihi kwa ajili ya mechi muhimu mbeleni.
 
Mimi binafsi naona ni sawa ,tutarudi na nguvu zotee epl........

Next step ni Brighton ....!
 
Mgeshinda mngejipongeza mnaona mmefungwa unatafuta tundu la lawama

Liverpool linapofika suala la nockout hama mzaha fuatilie uone rekodi zake

Uefa ya nyuma alikufunga nje ndani

Chelsea kazabwa Mara mbili

Huna Cha kujitetea s mnasema mnakikosi kipana kwamba anayeingia Kama anayetoka
Leo mnawakataa wachezaji wenu
Mzee vip unatuletea makisriko na mikeka yako iliyochaniko huko [emoji28]...kila timu Ina mipango yake kama huyo Liverpool ni nomaaa ,sijui hatari kimpango wake na match zake huko .,...!
 
We go again ..!
mancity-20220416-0002.jpg
 
Kwan leo Pep kafanyaje? Aaaaah

Yaan nmeumia mnoo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Masikini kumbe umeumia dah Hawa Liverpool wana roho mbaya
 
Hahaaa ...!

Wacha tufocus epl tu ,kaamua kupumzisha wachezaji mhimu ili turudi na nguvu epl ,......point moja tunaweza kubeba epl
Etihad hakupumzisha wachezaji mbona hamkushinda sasa Hii ndio LIVERPOOL THE REDS na tunawaka Uefa final kenge nyie.
 
Etihad hakupumzisha wachezaji mbona hamkushinda sasa Hii ndio LIVERPOOL THE REDS na tunawaka Uefa final kenge nyie.
Kwan fa yenyewe mmeshachukua ....

Unashangaa fa unagongwa na Chelsea ,maana Chelsea hawezi Toka msimu huu bila kombe ....

Uefa Villarreal anakuchapa,unabaki unatoa macho ...epl pep anakunyooosha unabaki na carabao [emoji28]...

Jifunze kunyamanza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom