nyangelekene
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 481
- 344
2-3Liverpool nayo ni timu kweli [emoji28] mnamaajabu gani ya kututisha mzee[emoji28][emoji28][emoji28]
Tupe head to head msimu huu kwanza ujuwe nani ni kilaza kwa mwenzakeLiverpool nayo ni timu kweli [emoji28] mnamaajabu gani ya kututisha mzee[emoji28][emoji28][emoji28]
Hawa man shity hata fainali wakikutana na Villareal hawachomoki. Lyon tu waliwashindwa msimu ule wa juziEPL naichukua
Labda wewe unaweza pata UCL sababu ntakua nimechoka kwa kuchukua Carabao,FA na EPL
Wachezaji watakua hawana mori maana wameshinda too much.
Mpwa team hauna,huwezi chukua EPL bila false 9 ambaye ni goal getter.
Mngekuwa na mtu kama Jota ktk ama striker au false 9 ambaye analijua goli mngeisha lichukua kitambo sana
Jesus au Foden au Sterling kama namba 9 wako hawezi kukupa EPL
Kuwa na akiba ya maneno yako haya then 22 may tuweke kumbukizi za uandishi wako huu.EPL naichukua
Labda wewe unaweza pata UCL sababu ntakua nimechoka kwa kuchukua Carabao,FA na EPL
Wachezaji watakua hawana mori maana wameshinda too much.
Mpwa team hauna,huwezi chukua EPL bila false 9 ambaye ni goal getter.
Mngekuwa na mtu kama Jota ktk ama striker au false 9 ambaye analijua goli mngeisha lichukua kitambo sana
Jesus au Foden au Sterling kama namba 9 wako hawezi kukupa EPL
imekuchukua miaka miwili kutufunga nyang'ao wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tupe head to head msimu huu kwanza ujuwe nani ni kilaza kwa mwenzake
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Hizo historia zinakusaidia Nini Kwa Sasa ,embu niambie umuhimu wa historia katika kuiwezesha timu yenu kwa Sasa kufanya vzuri .[emoji28][emoji28][emoji28].......hio Nottingham forest yupo wapi ,au Kuna tuzo za kupewa timu zenye historia ....Man city hasemi lolote hata kwa Nottingham forest, Nottingham forest ana Ubingwa wa Uefa mmoja. Liverpool level zake ni Ac Milan,madrid na bayern tu.
Wengine mkae kimya,bado mna safari ndefu sana
We kumbe kiaz sanaHizo historia zinakusaidia Nini Kwa Sasa ,embu niambie umuhimu wa historia katika kuiwezesha timu yenu kwa Sasa kufanya vzuri .[emoji28][emoji28][emoji28].......hio Nottingham forest yupo wapi ,au Kuna tuzo za kupewa timu zenye historia ....
in football ukishachukua kombe lolote it's over ,nothing else ,kama unafikili hizo historia za kuchukua CL zinaweza kukusaidia hata kuchukua FA mwaka huu kama hujakaza makalio kumfunga Chelsea ambaye analitegemea mwaka huu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hakuna timu masikin uingereza kama Liverpool [emoji28][emoji28][emoji28]poor poor poor poor forever ....!We kumbe kiaz sana
Nilijua naongea na mtu anayejua soka kunbe n Kiande
Chukua hii shule ya bure kabisa
Timu inapofanya vzuri inavutia investors wengi na fan base
Mfano Liverpool kimauzo ya vitu vyote na mashindano yote aliyoshiriki ameingiza mkwanja mrefu kushinda timu yoyote pale UINGEREZA
Ndio maana ss hatuingii mfukoni kusajir mchezaji ss tunatoa katka ile faidatuliyoingiza
Maana yake ninyi mnategemea pesa ya mfukoni Toka kwa waarabu
Nadhan umeelewa
CL zako 6 haziwezi kukusaidia kuchukua Epl au fa mwaka huu .....it's past and it's over .....!Pain killer inabid upate mtu wa kukuelekeza mpira siyo uroporopo unaoongea
Mwenzio OllaChuga Oc mdogo mdogo anaanza kuelewa kuwa soka linaendeshwaje
Kifup wewe n shabik lakn hujui mpira kabisa
Huna pesa , poor club in the world, hamuwezi hata kulipa wachezaji 400 k per week...We kumbe kiaz sana
Nilijua naongea na mtu anayejua soka kunbe n Kiande
Chukua hii shule ya bure kabisa
Timu inapofanya vzuri inavutia investors wengi na fan base
Mfano Liverpool kimauzo ya vitu vyote na mashindano yote aliyoshiriki ameingiza mkwanja mrefu kushinda timu yoyote pale UINGEREZA
Ndio maana ss hatuingii mfukoni kusajir mchezaji ss tunatoa katka ile faidatuliyoingiza
Maana yake ninyi mnategemea pesa ya mfukoni Toka kwa waarabu
Nadhan umeelewa
Falsafa ya Liverpool wewe unaijua?....ni sawa hatulipi wachezaji mkwanja mrefu....ila tunawachezaji world class...ambao wanafanya Liverpool kua team inayoogopwa zaid duniani.....kuhusu makombe ww man city team ya juzi huwezi jilinganisha na LiverpoolHuna pesa , poor club in the world, hamuwezi hata kulipa wachezaji 400 k per week...
Psg , real Madrid,man city .... itaendelea kulialia zinatumia pesa nying sijui kusajili ..
Mkwanja gani mmeingiza ...mmeshinda Nini mwaka Jana nyie[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Salah tuu mmeshindwa kumpa hata 350k per week [emoji28][emoji28][emoji28], BAHILI FC nyie ,kalale mzee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Liver mwepesi sana kwa city sema kipa ndo katuchomesha mahindi.
Kama historia ni rahis chukua CL hata mojaa kama unao uwezo...CL zako 6 haziwezi kukusaidia kuchukua Epl au fa mwaka huu .....it's past and it's over .....!
Maswala ya kuniletea Mimi mambo ya miaka 90 kudefend ujinga it's nonsense,we talk current issues ....
Madrid ana CL 13 so far but Hana malingo kama wewe kinabo ....
Hata kocha wao hatamani kukutana na Liverpool.....Kuna msimu gani Liverpool alukuwa mwepesi kwa Liverpool?
Au tuweke kumbukumbu?
Ushindi wa Man City kwa Liverpool no lazima Liverpool iwe na kasoro! Mfano Man City alimfunga Liverpool goli 5 baada Sadio Mane kula Red Card, baada ya Hapo Man City kapigwa 4 - 3 kwenye EPL na akapigwa 3 - 0 na 2 - 1 UCL.
Msimu uliopita Man City kampiga Liverpool 4 - 1 Huku Liverpool ikiwa imeathirika sana na majeruhi karibu Timu nzima kiasi ya kwamba haikuwa na msimu mzuri.
Hebu nikumbushe kwa kipindi cha PEP Man City kumfunga Liverpool game angalau 2 mfululizo? Au weka Head to Head.
Hivyo musidanganyane kuwa Liverpool ni Timu nyepesi kwa Man City wakati ukweli minajua wazi kwenye Kila msimu munazifunga Timu zote 18 isipokuwa Liverpool tu.
Mchezaji wa million 100 wa nini...huo ni uogaaa....Hakuna timu masikin uingereza kama Liverpool [emoji28][emoji28][emoji28]poor poor poor poor forever ....!
Kusajili tu mchezaji wa pound million 100 hamuwezi ,mnamuuzo gani nyie kuku ....!
Man utd ndio top kwa mkwanja ,usijipe sifa ambazo huna kuku wewe [emoji28]
Mimi binafsi nasema Liverpool hajakutana na city ikiwa kwenye moto ..... Liverpool ni timu ya kawaida Sana
Kipa kawapa zawadi ya goli
Yule karius ilitakiwa siku ile ile apigwe risasi kabisa [emoji28]...!Ndiyo mpira ulivyo hata sisi tena kwenye fainali muhimu ya UCL Loris Karius alimpa Benzena na Bale magoli ya bure kabisa kuliko hata kipa wenu wa jana.
Umuhimu wa historia? Miaka 5 ijayo hamna UEFA champions league utamwambia nani wewe man city mtapiga sana chenga mko vizuri akakuelewa?Hizo historia zinakusaidia Nini Kwa Sasa ,embu niambie umuhimu wa historia katika kuiwezesha timu yenu kwa Sasa kufanya vzuri .[emoji28][emoji28][emoji28].......hio Nottingham forest yupo wapi ,au Kuna tuzo za kupewa timu zenye historia ....
in football ukishachukua kombe lolote it's over ,nothing else ,kama unafikili hizo historia za kuchukua CL zinaweza kukusaidia hata kuchukua FA mwaka huu kama hujakaza makalio kumfunga Chelsea ambaye analitegemea mwaka huu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]