Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Hizo CL 6 zinaweza kuwasaidia kuchukua epl au fa ? Mbona mnajificha kwenye oooh tuna uefa 6 ,then what ....?,so ..!Umuhimu wa historia? Miaka 5 ijayo hamna UEFA champions league utamwambia nani wewe man city mtapiga sana chenga mko vizuri akakuelewa?
Weka chata mkononi
Tunacheza kutengeneza historia ya kuwa na mataji sio ulikua unapiga sana mpira
Madrid ana CL 13 na anapamaban kuwa kwenye form ,akibweteka anapotea and no one care about 13 CL alizowin .... that is football [emoji28]
Mnaleta historia ,man utd ingekuwa inapambania nafasi ya 7 kama historia zinawasaidia .,.!
Football it's all about consistency..!!!