The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Umuhimu wa historia? Miaka 5 ijayo hamna UEFA champions league utamwambia nani wewe man city mtapiga sana chenga mko vizuri akakuelewa?

Weka chata mkononi
Tunacheza kutengeneza historia ya kuwa na mataji sio ulikua unapiga sana mpira
Hizo CL 6 zinaweza kuwasaidia kuchukua epl au fa ? Mbona mnajificha kwenye oooh tuna uefa 6 ,then what ....?,so ..!

Madrid ana CL 13 na anapamaban kuwa kwenye form ,akibweteka anapotea and no one care about 13 CL alizowin .... that is football [emoji28]

Mnaleta historia ,man utd ingekuwa inapambania nafasi ya 7 kama historia zinawasaidia .,.!

Football it's all about consistency..!!!
 
Tunachukua epl na UEFA na Fa.utabaki unatoa macho tu
 
Hizo CL 6 zinaweza kuwasaidia kuchukua epl au fa ? Mbona mnajificha kwenye oooh tuna uefa 6 ,then what ....?,so ..!

Madrid ana CL 13 na anapamaban kuwa kwenye form ,akibweteka anapotea and no one care about 13 CL alizowin .... that is football [emoji28]

Mnaleta historia ,man utd ingekuwa inapambania nafasi ya 7 kama historia zinawasaidia .,.!

Football it's all about consistency..!!!
Sasa nyie city mnachochote cha kuoneshea pamoja na hio consistency mliyoayo miaka kibao?😄
 
Hizo CL 6 zinaweza kuwasaidia kuchukua epl au fa ? Mbona mnajificha kwenye oooh tuna uefa 6 ,then what ....?,so ..!

Madrid ana CL 13 na anapamaban kuwa kwenye form ,akibweteka anapotea and no one care about 13 CL alizowin .... that is football [emoji28]

Mnaleta historia ,man utd ingekuwa inapambania nafasi ya 7 kama historia zinawasaidia .,.!

Football it's all about consistency..!!!
Eti historia aina umuhimu wakati pale Anfield watu wanalipia kuingia jumba la makumbusho kujionea makombe mbalimbali hasa haya ya International cups kwa klabu ni another source of income. Sasa shabiki aende Etihad kufanya nini kushangaa carabao cups

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Hakuna timu masikin uingereza kama Liverpool [emoji28][emoji28][emoji28]poor poor poor poor forever ....!

Kusajili tu mchezaji wa pound million 100 hamuwezi ,mnamuuzo gani nyie kuku ....!

Man utd ndio top kwa mkwanja ,usijipe sifa ambazo huna kuku wewe [emoji28]
Jitahid kuficha ujinga wako wewe mtoto.
 
Eti historia aina umuhimu wakati pale Anfield watu wanalipia kuingia jumba la makumbusho kujionea makombe mbalimbali hasa haya ya International cups kwa klabu ni another source of income. Sasa shabiki aende Etihad kufanya nini kushangaa carabao cups

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Juzi match na Liverpool sehemu ya mashabiki wa man shit waliweka bendera yao maana kulikuwa hakuna watu wa kukaa, timu inazidiwa washabiki mpaka na Mbao fc.
 
Jibu swali kama nilivouliza ,sijakwambia mambo ya makumbusho watu kuenda kuangalia ,Mimi nimeseam kuwin title ...!
 
Juzi match na Liverpool sehemu ya mashabiki wa man shit waliweka bendera yao maana kulikuwa hakuna watu wa kukaa, timu inazidiwa washabiki mpaka na Mbao fc.

Si unaona ulivo mweupe kichwa , empty headed 😅😅🔥unajua maana na umuhimu wa kuweka bendera katika game kama ile kweli ..! Kama hujui uliza uambiwe
 
Eti historia aina umuhimu wakati pale Anfield watu wanalipia kuingia jumba la makumbusho kujionea makombe mbalimbali hasa haya ya International cups kwa klabu ni another source of income. Sasa shabiki aende Etihad kufanya nini kushangaa carabao cups

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Kumbe mwataka vikombe vya maonyesho haya pambaneni mengine mtuletee hapa Bagamoyo.
 
Binafsi sina shaka kabisa na team yangu kwani nahakika final tunaingia na CL tunachukua naweka kumbukumbu.
 
Kubishana na kuku kama wewe ni matumizi mabaya ya akili [emoji1787]

Nahisi Kuna ukweli kwenye ushabiki wako wa Arsenal.

Kama sio kweli twambie kabla 2010 ambapo Oil Money ndiyo ilipoanza kufanya kazi tuambie ulikuwa Mshabiki wa Timu gani? Au unataka kusema ulikuwa Shule ya Msingi hujaanza kupenda mpira?

Usitake kuniambia ulikuwa Mshabiki wa Man City ya kina Ireland na Wyne Bridge iliyokuwa ikipambana isishuke daraja.
 
Huyo ni shabiki wa Man city mkuu!Alishatoa maelezo jinsi alivyo anza kuwa fan wa city mpaka sasa na kinacho FANYA awe shabiki wa city ni bado chaliii.. maaana umri alio Anza kushabikia mpira ndo kipindi man city inasumbua mpaka ikachukua na kombe la EPL.
 
Back
Top Bottom