The Manchester City (The Citizens) | Special Thread


Wewe unaweza chukua UCL umpige Madrid huyu?
Thubutu,wewe level zako ni kiwafunga akina Watford
 

Wewe tajiri mwisho wako ni kuchukua makombe wanayo cheza Leeds na Norwich!
Makombe ya wanaume hamyawezi kabisa
 
Daaa siku hizi game za man city kwenye kibanda umiza wanaonesha kwa 1000/= hata kama city anacheza na Watford [emoji28]

Watakubali tu ....!

Zamani ulikuwa huwezi ona game ya city inapewa air time kama hivi ,yaani kiufupi tunakiwashaa
 
Sasa hivi mashabiki wote wanaingia vibanda umiza wanaulizia " game ya man city utaonesha " [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Leo dunia nzima itakuwa inatazama ni namna gani Watford wataweza kumfunga city ili zile jogoo zichukue epl ,...lakin masikini ya Mungu watakachokutana nacho watatoka wameinama mikono iko nyuma [emoji1787]


Hii ni clean sheet nyingine kwa Ederson na kumpiga gap Alison ...

FT

Man city 4-0 Watford


We go .....
 
Grealish bana kila pass anayopiga inapotea ....kila mpira anaogusa anapoteza[emoji1787][emoji1787]
 
Hii ilitakiwa clean sheet ila Sasa tumefungwa goli la kizembe Sana ...!
 
Wajinga mmepata kitoga mnajipigia tu daaaah...! Nimebinya korodani weee lakini wapi Mwacity mnashinda tu, aaaagh...![emoji34]
Utabinya mbupu mpaka ukome [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mtajuta kwanini mlituacha tukae pale juu [emoji28]
 
Next ni Madrid ....!

UCL

Dunia nzima itasimam mida ya saa nne usiku kuangalia namna man city tunapiga mpira kama kwenye play station...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…