The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mchezaji wa kwanza msimu huu kufunga Goli nne epl [emoji28]
mancity-20220423-0001.jpg
 
Grealish asipo improve next season basi nitahesabu tumepigwa kabisa ,pass nyingi anapoteza ,anajua kupiga back pass tu ....Hana movement yeyote ya hatari , kiwango cha kudribble kimeshuka ,akiwa uwanjan anafanya jogging tu na kupiga back pass kurudisha kwa zincheko ,au cancelo
mancity-20220423-0002.jpg
 
Madrid team nyepesi Sana ,kapita kwa mistake tu za timu pinzani ...mfano Madrid alitakiwa atolewe mapema na psg ila psg kipa aliwapoteza mapema ......

Chelsea alikuwa anamtoa mapema Sana Madrid ila Mendy akawauza ....!

Wanatembelea mistake za timu nyingine kufunga magoli ila hawana uwezo wa kutengeneza mashambulizi na kupress kwa nguvu ,wanachezea nyuma kusubili counter attack ya benzema na vini Sasa wataona moto wa possession ball[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
ingekuwa Chelsea kapita kidogo ingekuwa tough game ,ila Madrid ,wepesi Sana ,hawajui kupress kabisa ,wanakusubili uwafuate golin kwao ili wao watumie mikimbio ya vin na benzema kufanya counter .....hii kitu ndio itawamaliza Kwan pass zitakazopigwa ndani ya box lao ni zaidi ya million ....!

Kiufupi dias na Laporte watahakisha wanawasubili nyuma hao kina vin na benzema watakavokuja .....huku walker na cancelo wakioverlap na kumwaga cross ndan ya box la Madrid ...pass za Rodrigo - bernado - kDB - foden - Mahrez .....zinaenda kuwamaliza Madrid ...

Naamin hiki ndio kikosi kitaacho anzaaa...

Ederson

Walker -----dias -----laporte ----cancelo

Bernado Silva ----rodrigo -----gundo

Mahrez----- KDB ------foden

Let's go
 
Benzema ana imaliza kesho hapo hapo Itihad
 
Pep anavyompenda Sterling
 
Benzema kesho anageuka kuwa beseni kesho hatuna macheko ni kazi kazi mwanzo mwisho.
 
Sterling ,Mahrez ,frenandihno wote mikataba inaisha mwishoni mwa msimu huu .....

Frenandihno kashasema anaondoka ...

Jesus namuona akiondoka kwenda arsenal ...

Sterling naona akisain mkata mpya ....

Mahrezi anaweza kubaki na yeye akasain mkataba mpya ....
 
Walker. , stone,cancelo hawakuwepo kwenye mazoezi Leo jion naona zincheko akicheza RB kesho ....!
 
ingekuwa Chelsea kapita kidogo ingekuwa tough game ,ila Madrid ,wepesi Sana ,hawajui kupress kabisa ,wanakusubili uwafuate golin kwao ili wao watumie mikimbio ya vin na benzema kufanya counter .....hii kitu ndio itawamaliza Kwan pass zitakazopigwa ndani ya box lao ni zaidi ya million ....!

Kiufupi dias na Laporte watahakisha wanawasubili nyuma hao kina vin na benzema watakavokuja .....huku walker na cancelo wakioverlap na kumwaga cross ndan ya box la Madrid ...pass za Rodrigo - bernado - kDB - foden - Mahrez .....zinaenda kuwamaliza Madrid ...

Naamin hiki ndio kikosi kitaacho anzaaa...

Ederson

Walker -----dias -----laporte ----cancelo

Bernado Silva ----rodrigo -----gundo

Mahrez----- KDB ------foden

Let's go

Yani hizi Pumba unazojilisha mwenyewe zitakutokea Puani
 
Back
Top Bottom