Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Et arsenal wanataka kumchukua Jesus .....
Bora tuwauzie grealish [emoji1787]
Hata benzema atakosa hivyo hivyo one vs one na Ederson [emoji23][emoji23]Watford walikosa one against one na kipa 3!
Huwezi mtoa Madrid ulicheza hovyo hivi
ingekuwa Chelsea kapita kidogo ingekuwa tough game ,ila Madrid ,wepesi Sana ,hawajui kupress kabisa ,wanakusubili uwafuate golin kwao ili wao watumie mikimbio ya vin na benzema kufanya counter .....hii kitu ndio itawamaliza Kwan pass zitakazopigwa ndani ya box lao ni zaidi ya million ....!
Kiufupi dias na Laporte watahakisha wanawasubili nyuma hao kina vin na benzema watakavokuja .....huku walker na cancelo wakioverlap na kumwaga cross ndan ya box la Madrid ...pass za Rodrigo - bernado - kDB - foden - Mahrez .....zinaenda kuwamaliza Madrid ...
Naamin hiki ndio kikosi kitaacho anzaaa...
Ederson
Walker -----dias -----laporte ----cancelo
Bernado Silva ----rodrigo -----gundo
Mahrez----- KDB ------foden
Let's go
Mwaka huu utakufa na kihorooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Benzema ana imaliza kesho hapo hapo Itihad

Walker anaweza asicheze kesho zincheko akacheza , subili uone kabumbu safi kutoka kwa machampionYani hizi Pumba unazojilisha mwenyewe zitakutokea Puani
Hachezi kabisaWalker anaweza asicheze kesho zincheko akacheza , subili uone kabumbu safi kutoka kwa machampion
Leaked Starting XI:
Ederson
Stones Dias Laporte Zinchenko
Rodri
Bernardo KDB
Mahrez Jesus Foden