Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Leo tumezingua sana kwenye kulinda, pep anatakiwa alifanyie kazi hilo swala ,madrid nyumbani kwake ni mbovu tutampigia hapo hapo ,kama chelsea alimfungia kwake ,ajiandae kwa kipigo .here we go
Umeanza lini kufuatilia mpira? Hivi unajua Madrid dhidi ya Chelsea tayari alikwishakuwa na Mtaji mkubwa wa ushindi wa Ugenini (3 - 1)?
Timu yoyote inapokuwa na Mtaji mkubwa wa Ushindi wa Ugenini basi game ya Nyumbani huwa wanalegeza kama.
Refer game za Liverpool vs Milan na Benfica zote kashinda Ugenini lakini Nyumbani hakushinda.
Hivyo Real ingelikuwa Hakupata ushindi Mubwa uenini usidhani kuwa angefungwa na Chelsea Ndani ya Barnabeu.
Haijawahi kutokezea Madrid akawa mbovu Nyumbani kwake.