The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo tumezingua sana kwenye kulinda, pep anatakiwa alifanyie kazi hilo swala ,madrid nyumbani kwake ni mbovu tutampigia hapo hapo ,kama chelsea alimfungia kwake ,ajiandae kwa kipigo .here we go

Umeanza lini kufuatilia mpira? Hivi unajua Madrid dhidi ya Chelsea tayari alikwishakuwa na Mtaji mkubwa wa ushindi wa Ugenini (3 - 1)?
Timu yoyote inapokuwa na Mtaji mkubwa wa Ushindi wa Ugenini basi game ya Nyumbani huwa wanalegeza kama.
Refer game za Liverpool vs Milan na Benfica zote kashinda Ugenini lakini Nyumbani hakushinda.

Hivyo Real ingelikuwa Hakupata ushindi Mubwa uenini usidhani kuwa angefungwa na Chelsea Ndani ya Barnabeu.

Haijawahi kutokezea Madrid akawa mbovu Nyumbani kwake.
 
Huyo Madrid anakitu gani hasa mbona Mimi sioni ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumemzidi kila kitu ,hakuna sehemu ambayo katukamata ,pressing ,build up ,yaan kiufupi Madrid ni underdog kabisa ,....!

ifike mahali mkubali tu Madrid ni mbovu ,kwa kikosi cha Jana kama tungekuwa tunacheza na Liverpool au Chelsea tungeumia sana .......ila Kwa vile ni Madrid Bado kapata tough game [emoji23][emoji23]
 
3-1 ,,4-2 Bado tunashindwa kumanage game ,tunaruhusu goli rahisi kabisa ....!uefa goli moja ni zaidi ya point 3 ,ilitakiwa tumanage mchezo ikiwezekana tucheze kama atletico madridi baada ya kuwa tunaongoza kwa zaidi ya magoli 2 ...!
 
Mimi binafsi namuogopa villareal kuliko Liverpool, villareal wanacheza low block ,na wapo vzuri kudefend kweli kweli ,wapo compact ...

Chelsea alitufunga final kwa njia hio ,tuna tatizo na timu inayocheza huo mfumo ,kuwafungua inakuwa ngumu Sana ....

Kama tukiwatoa madridi ,namtamani Liverpool,[emoji28][emoji28]
 
wewe ni muoga kupindukia moto wa city unaujua na huwezi support city apite , Madrid mbona anafungika kirahisi sana, tena tutampigia kwake .stop being a coward, get ready to face the music
 
Leo tumezingua sana kwenye kulinda, pep anatakiwa alifanyie kazi hilo swala ,madrid nyumbani kwake ni mbovu tutampigia hapo hapo ,kama chelsea alimfungia kwake ,ajiandae kwa kipigo .here we go
Nyie jifananisheni na Chelsea sasa, mtawashiwa moto huko huko ndio mtakapo jua. Kuna ile unaenda kumpiga mtu kume wewe ndio unaenda kupigwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu mpira mmeanza kuangalia lini.

Huyo madrid unasema hajawai kuwa mbovu kwake, alipigwa nne hapo bernabeu na watoto wa ajax
 
Weka akiba ya maneno mkuu tarehe 04/05/2022 sio mbali.
 

Timu imefunga magoli 3 Nyumbani kwako bado hujaona Tatizo?
Subiri 2nd Leg.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…