Huyo hamnaga kitu. Kubinua tu kiuno.Uchawi wa PEP ukiacha kufanya kazi wachezaji wengi wa city wanakuwa takataka mmojawapo ni Rahim Stearling
Ulijua unamtoa Madrid?Yaan hii city ndo nn sasa khaaah, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Yaan anaboa sana huyu kocha sometime, sijui yukoje khaaaah.Guardiola atajuta Sana kumtoa mahrez na debruney
Nakutafuta 🤣🤣🤣🤣🤣Yaan hii city ndo nn sasa khaaah, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Aaaaah wee game ilishaisha hii, yaan Pep anamtoa KDB na mahrez, anawaingiza wajukuu wa bibi elizabeth? Ndo nn khaaah.Ulijua unamtoa Madrid?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani kuna nini?Yaan hii city ndo nn sasa khaaah, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Dada bhana hii game kipara katutoa kusudi.Nakutafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuambia uweke akiba za maneno, ukajifanya kushupaza shingo
Kiko wapi!!!?
Jamaa anakibinua kiuno aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo hamnaga kitu. Kubinua tu kiuno.
Daaaaah acha tyuuh.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani kuna nini?
Underdogs
Ndio muone kuwa tim yenu ni ndogo sana, Pain killer njoo mpeane faraja basi.Dada bhana hii game kipara katutoa kusudi.
Nwei hatuna bahati na UEFA. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Na kutochukua mara zote ni ujingaKucheza uefa fainali mara 2 mfululizo sio rahisi wachache ndio wanaweza