Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sizitaki mbichi hizi.Daaaa Bora tumetoma mapema maana kupoteza final mbili mfululizo ingekuwa mbaya zaidi .....!
Let's go
We nae khaaah, tumefika final mara 2 mfululizo, now tumeishia semi ndo hatuwezi?Nyie macarabao na EPL ndo uwezo ulipoishia. Huku Europe cups bado sana.
Mfukulie makaburi tu [emoji16][emoji16][emoji16]Vp cocastic ulinijibuje?View attachment 2211905
Mmekuwa wapole eeenhee na majigambo yenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], sisi hata tusipo beba UCL ila kwa majigambo yenu mmetolewa hadi ninafuraha. Muache majigambo mkuu pep sio UCL material fukuzeni huyo.Haya nendeni final mkatwae la 7, sisi tumewachia wenyewe mpambane nalo.
Kheeeh kwan wee ushachukua hilo kombe? Si final bado khaaaah.Vp cocastic ulinijibuje?View attachment 2211905
Bora Liverpool tukutane na hawa vijana wa Anceloti....sitamani kabisa kuonana na Joseph Guardiola.....
#Siempre JMT[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23] yaan Man City km msimu huu ameshindwa bas, hata asiwe anashiriki UEFA, yaan tunapitwa had na Aston Villa? Mwenzetu ana UEFA khaaaahMmekuwa wapole eeenhee na majigambo yenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], sisi hata tusipo beba UCL ila kwa majigambo yenu mmetolewa hadi ninafuraha. Muache majigambo mkuu pep sio UCL material fukuzeni huyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]mzee hio ndio football,haijalishi sio CL materials lakin kashatupa mafanikio ,Sasa nadhni ni muda wa yeye mwenyewe kusema hadhari kuwa kafeli kubeba CLMmekuwa wapole eeenhee na majigambo yenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], sisi hata tusipo beba UCL ila kwa majigambo yenu mmetolewa hadi ninafuraha. Muache majigambo mkuu pep sio UCL material fukuzeni huyo.
Lazima nimfukulie maana alijitia ujuaji sana.Mfukulie makaburi tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Wee hilo kombe ushachukua kwan? KhaaaahLazima nimfukulie maana alijitia ujuaji sana.
Narudia tena Pep pale city bado ni failure mpaka abebe UEFA[emoji23][emoji23][emoji23]mzee hio ndio football,haijalishi sio CL materials lakin kashatupa mafanikio ,Sasa nadhni ni muda wa yeye mwenyewe kusema hadhari kuwa kafeli kubeba CL
Maana mpaka Sasa Hana kisingizio kingine [emoji23][emoji23]
Njoo Liverpool jamani mrembo utakufa na presha na hiki kikundi cha wahuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23] yaan Man City km msimu huu ameshindwa bas, hata asiwe anashiriki UEFA, yaan tunapitwa had na Aston Villa? Mwenzetu ana UEFA khaaaah
Wakijitusu kumfukuza Pep itakuwa kwisha Habari yaoMmekuwa wapole eeenhee na majigambo yenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], sisi hata tusipo beba UCL ila kwa majigambo yenu mmetolewa hadi ninafuraha. Muache majigambo mkuu pep sio UCL material fukuzeni huyo.
Mlikuwa mnasema kuwa Villarreal hatuna uhakika hata wa sare [emoji1787][emoji1787], saiv unaniambia mmesha hata hilo kombe? [emoji1787][emoji1787]Wee hilo kombe ushachukua kwan? Khaaaah
Uyu Dogo na Mwenzie glealish wamevurunda mno,Uchawi wa PEP ukiacha kufanya kazi wachezaji wengi wa city wanakuwa takataka mmojawapo ni Rahim Stearling
Ha ha ha....Raia mmechachamaa[emoji16]Huyo hamnaga kitu. Kubinua tu kiuno.