The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mlikuwa mnasema kuwa Villarreal hatuna uhakika hata wa sare [emoji1787][emoji1787], saiv unaniambia mmesha hata hilo kombe? [emoji1787][emoji1787]
Sisi tungekua na villareal mbna final mapema kabisaa.

Nyie mngekutana na madrid mngetusua? Haya mkakutane final tutawasubir wembley kuwapokea na kombe la 7.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mzee hio ndio football,haijalishi sio CL materials lakin kashatupa mafanikio ,Sasa nadhni ni muda wa yeye mwenyewe kusema hadhari kuwa kafeli kubeba CL

Maana mpaka Sasa Hana kisingizio kingine [emoji23][emoji23]

We jamaa rudi kwenye jukwaa la madrid kule tunakuulizia
 
We jamaa rudi kwenye jukwaa la madrid kule tunakuulizia
Kumbe jamaa aliwatembelea na huko? [emoji1787][emoji1787] Jamaa katoka nduki yupo buza sasa na kumkamata hamuwezi [emoji1787][emoji1787]
 
Mechi ilopita mlisingizia Walker hayupo.

Leo yupo ila kakimbizwa mchaka mchaka na vinicius mpk misuli imemkaza akaomba sub mwenyewe[emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23] yaan Man City km msimu huu ameshindwa bas, hata asiwe anashiriki UEFA, yaan tunapitwa had na Aston Villa? Mwenzetu ana UEFA khaaaah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka kwa sauti aisee
 
Sisi tungekua na villareal mbna final mapema kabisaa.

Nyie mngekutana na madrid mngetusua? Haya mkakutane final tutawasubir wembley kuwapokea na kombe la 7.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi Liverpool pamoja na Chelsea kwa msimu huu tunakombe moja moja , je nyie? Alafu bado funapambania FA, UCL plus League.
 
Mechi ilopita mlisingizia Walker hayupo.

Leo yupo ila kakimbizwa mchaka mchaka na vinicius mpk misuli imemkaza akaomba sub mwenyewe[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vinicius sio mtu mzuri [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka kwa sauti aisee
Rafiki nimevurugwa hapa wee acha tyuuh. Kesho chuo nitatafunwa mzima mzima na watu, hapa text na call zinaingia tyuuh, natazama hata kupokea na kujibu siwezi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamia Liverpool wewe, acha kuteseka na tim za uchochoroni
 
Back
Top Bottom