ivan1212
JF-Expert Member
- Mar 4, 2019
- 932
- 2,441
Nyie n mbwakoko tuMpaka hapa pep kashafeli ,uefa haiwezi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie n mbwakoko tuMpaka hapa pep kashafeli ,uefa haiwezi kabisa
Akiwin game ni genius asipowin amefeli ,tuache na timu yetu mzee pambana na hali yako ....Narudia tena Pep pale city bado ni failure mpaka abebe UEFA
Endelea kushabikia timu yako ya UNDERDOG tu UEFA ina wenyewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunasubir kuona salah nywele zikinyonyoka na mvi za ukoo kuanza ghafla.
Hata tukiondoka patupu mzee ,hatufai , we play football makombe yanakuja ,yasipo kuja life goes on ...!Hapa anasubiriwa na mchawi mmoja anaetaka kushuka daraja atilie mchanga icho kitumbua chenu Cha ligi,
Ili muondoke patupu kabisa msimu huu[emoji16]
[emoji23][emoji23]tumefika semi fanal na ni mafanikio pia ,hutaki kwendraaaaaa[emoji23]Endelea kushabikia timu yako ya UNDERDOG tu UEFA ina wenyewe.
Kwishnei........Kwisha habari yako na bado EPL subiri suprise nakuhakikishia.Nimetoka mbali na man city, tangu iko low profile had hapa ilipofikia,
Hiki kikundi cha wahuni ni chetu sie, na sisi ndo wahuni wenyewe mtuache.
Si umehamamia liverpool wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shabiki mandaziDon't worry guy's there still our year we will bounce back
jokes tu mzee nothing seriousSi umehamamia liverpool wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shabiki mandazi
Hivi kupoteza semi final nako ni swala la kulia ...
Akiwin game ni genius asipowin amefeli ,tuache na timu yetu mzee pambana na hali yako ....
In pep we believe [emoji18][emoji53]
Mashabiki kama Nyie Mimi nawaita vilaza tu ,pep akiwin game 12 mfululizo utasikia ooh pep ni genius ,bonge la kocha ,Jana tu kapoteza semi final Tena game ambayo alikuwa kashamaliza ni vile tu hatukuwa na bahati ,ila unakuta kilaza kama huyo huyo et pep kafeli ,sijui atupishe .,,mothef**CK ..!Aendelee kumfunga Norwich hapo ndipo mwisho wake,huku kwa wanaume hakuwezi
Naona mmeshikwa TAKO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tushakata mkanda wa bikini tunashika tako
Ancelotti hit them with [emoji2955] and they scored 2 in 2 minutes.. [emoji23][emoji23][emoji23]Karibu sana hapa kwetu ni mwendo wa msako mwanzo mwisho.
Mashabiki kama Nyie Mimi nawaita vilaza tu ,pep akiwin game 12 mfululizo utasikia ooh pep ni genius ,bonge la kocha ,Jana tu kapoteza semi final Tena game ambayo alikuwa kashamaliza ni vile tu hatukuwa na bahati ,ila unakuta kilaza kama huyo huyo et pep kafeli ,sijui atupishe .,,mothef**CK ..!
Mimi sina cha kumalaumu pep ,kamtoa kDB kamuweka gundogun na game ikabadika tukascore ..!,,kamtoa Jesus ,Mahrez kumweka grealish na frenandihno kudefence na kushambulia ...Kuna mikimbio ya jack kidogo ascore ....!
Walker kaumia mapema na kaingia zincheko na kafanikiwa plan ,...kiufupi tulimzidi kila kitu last minute defender wetu kujisahau tu et jitu linakuja humu pep kafeli ,sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....!
Hatuna sijui europian cup ,life goes on ,hatuna sijui uefa but we go ,this is over and we move on ...!
This is our city
Tayari
Njia nyeupe to the final
Tukitulia vizuri hii game inaisha kwa shangwe