Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Mpaka hapa pep kashafeli ,uefa haiwezi kabisa
Sasa Kijana si utajifunza kuwa UCL ina wenyewe?
Sasa vile vijimaneno vyako sijui Pressing, sijui buildup na takataka nyengine ulidhani kweli vitakusaidia umtoe Madrid?
Unajua hata ile invincible ya Arsenal haikufurukuta UCL badala yake 2005 akabeba Liverpool ya kina Luis Garcia na Milan Baros? Unajua kwanini?
UCL ina wenyewe! Pep angekuwa yupo Liverpool nakuhakikishia muda huu angekuwa na UCL 4 kamili.
Lakini kwa Man City ataendelea kuwa underdog siku zote kwenye UCL.
Hope next season utajifunza kunyamaza.