Mashabiki kama Nyie Mimi nawaita vilaza tu ,pep akiwin game 12 mfululizo utasikia ooh pep ni genius ,bonge la kocha ,Jana tu kapoteza semi final Tena game ambayo alikuwa kashamaliza ni vile tu hatukuwa na bahati ,ila unakuta kilaza kama huyo huyo et pep kafeli ,sijui atupishe .,,mothef**CK ..!
Mimi sina cha kumalaumu pep ,kamtoa kDB kamuweka gundogun na game ikabadika tukascore ..!,,kamtoa Jesus ,Mahrez kumweka grealish na frenandihno kudefence na kushambulia ...Kuna mikimbio ya jack kidogo ascore ....!
Walker kaumia mapema na kaingia zincheko na kafanikiwa plan ,...kiufupi tulimzidi kila kitu last minute defender wetu kujisahau tu et jitu linakuja humu pep kafeli ,sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....!
Hatuna sijui europian cup ,life goes on ,hatuna sijui uefa but we go ,this is over and we move on ...!
This is our city