The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Jesus anabaki,
Sterllinh na Gearish waondoke kabisaaa

Tuna imani na team yetu, [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uwanja wa Santiago bernabeu pekee ulitosha kuwapa presha vitoto vya manshite
 
Waulize kwanini timu za afrika kombe la dunia hizifiki popote, hakuna swala la uchawi wala nini. City walikosa mfungaji
Laana haina uhusiano na uchawi kabisa babu, kipara alisahau kabisa kombe la ucl ktk akili yake!
 
Mkuu nimepitia comment zako, huyu Pain killer ulimwambia kila kitu tangu mwanzo kwamba mtapigwa lakini hakusikia na ndio kimetokea.

Amejisahau kuwa huu ni mwaka wa 24 tunafuatilia Hizi CL hivyo tunajua nje ndani ni nani mshindani na nani underdog.
 
Na nyinyi Chelsea munamcheka Man City? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu tusimcheke nakati wanatuita sisi ni mashabiki wa Mourinho tu aliyekuja Chelsea 2003 lakini bado tumepata mafanikio tele tokea huo mwaka kuliko klabu yoyote UK [emoji848][emoji28]
 
Sasa Chelsea tunafanana nae? Yeye anazo 2 sisi je?
Yaan had Aston Villa hatufanan nae, city inatuumiza sana watu wake, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Na bado nakuambia Na bado.
 
IMG_2152.jpg

Dharau mbaya sana hizi
Na kweli akapiga 2
Dah
 
Back
Top Bottom