The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pain killer [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshikeni huyu ameonekana duka la mangi ananunua sumu ya panya..
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23]hivi kweli semi final uefa ndio ya kulialiaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Moment kama hizi kwenye football ni za kawaida vinginevyo labda ukashabikie mieleka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usitulutee mahubiri jambo la umuhimu ni kwamba jana mmegongwa 3 basi.
MADRID NDIO DAWA YA MAKABWILI KAMA WEWE.
Huna lolote achana na Mimi mzee[emoji23][emoji23][emoji23]

Mpaka hapa tupo kwenye mafanikio makubwa ,imagine kupoteza semi final tu dunia nzima inatuzungumzia ze cityzen [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pep Guardiola anatafunwa na laana,jina lake bado lipo kwny kifuu cha nazi kijijini Ivory Coast huko.View attachment 2212016View attachment 2212017
Sisi hatuamini katika huo ujinga mzee [emoji23][emoji23] yaan the boss pep guardiola awapigie magoti ,unaumwa nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa ni kuingia sokoni kuvuta striker mmoja mkali ,na CB wawili ,then tunaendelea kutesa epl [emoji28]
 
Mashabiki kama Nyie Mimi nawaita vilaza tu ,pep akiwin game 12 mfululizo utasikia ooh pep ni genius ,bonge la kocha ,Jana tu kapoteza semi final Tena game ambayo alikuwa kashamaliza ni vile tu hatukuwa na bahati ,ila unakuta kilaza kama huyo huyo et pep kafeli ,sijui atupishe .,,mothef**CK ..!

Mimi sina cha kumalaumu pep ,kamtoa kDB kamuweka gundogun na game ikabadika tukascore ..!,,kamtoa Jesus ,Mahrez kumweka grealish na frenandihno kudefence na kushambulia ...Kuna mikimbio ya jack kidogo ascore ....!

Walker kaumia mapema na kaingia zincheko na kafanikiwa plan ,...kiufupi tulimzidi kila kitu last minute defender wetu kujisahau tu et jitu linakuja humu pep kafeli ,sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....!

Hatuna sijui europian cup ,life goes on ,hatuna sijui uefa but we go ,this is over and we move on ...!

This is our city
Kiukweli hatuna bahati na UEFA, ila iko wakati wetu tutafurahi na sie.
 
imagine tumetoka nusu final dunia nzima inatuzungumzia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Big club in the world

This is Manchester city baby

Come on city

[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
 
Watu mnateseka na mnasema city Haina fans ,au ni mikeka yenu imechanika maana humu watu wanatoa mapovu hatari [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

City ina tupa raha Sana ...!
 
Hohe hahe Astaghfirullah. Kwisha habari yenu.

Tulisema sisi
JamiiForums-302232605_512x640.jpg
 
imagine tumetoka nusu final dunia nzima inatuzungumzia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Big club in the world

This is Manchester city baby

Come on city

[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Acha kujipa moyo wewe
 
Duniani inawashangaa mlivopoteza kipumbavu Sana, mmezidiwa Hadi na nottingam forest na Aston Vila[emoji16]
 
Mimi nafurahia Sana team langu man city ,team kubwa imetolewa semi final na dunia nzima inatuzungumzia , headline ulaya nzima ni man city [emoji28][emoji28][emoji28]

Radio ,tv ,wachambuzi wote wanazingimzia the big team Manchester city [emoji28][emoji28][emoji28]

Hadi vilaza ambao hawajui mpira ,wanamzungumzia bernado Silva ,Mahrez ,kDB [emoji28][emoji28]

This is ze cityzen baby ,come on [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
 
Duniani inawashangaa mlivopoteza kipumbavu Sana, mmezidiwa Hadi na nottingam forest na Aston Vila[emoji16]
Wee rafiki hapa unafanya nn? Tuache na team yetu.
Muende kwa team zenu, khaaaaah.
 
Back
Top Bottom