The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hapa anasubiriwa na mchawi mmoja anaetaka kushuka daraja atilie mchanga icho kitumbua chenu Cha ligi,

Ili muondoke patupu kabisa msimu huu[emoji16]
Hata tukiondoka patupu mzee ,hatufai , we play football makombe yanakuja ,yasipo kuja life goes on ...!

Pep team tunasema hivi hakuna sijui kafel ,in pep we believe....
 
Akiwin game ni genius asipowin amefeli ,tuache na timu yetu mzee pambana na hali yako ....

In pep we believe [emoji18][emoji53]

Aendelee kumfunga Norwich hapo ndipo mwisho wake,huku kwa wanaume hakuwezi
 
Mashabiki kama Nyie Mimi nawaita vilaza tu ,pep akiwin game 12 mfululizo utasikia ooh pep ni genius ,bonge la kocha ,Jana tu kapoteza semi final Tena game ambayo alikuwa kashamaliza ni vile tu hatukuwa na bahati ,ila unakuta kilaza kama huyo huyo et pep kafeli ,sijui atupishe .,,mothef**CK ..!

Mimi sina cha kumalaumu pep ,kamtoa kDB kamuweka gundogun na game ikabadika tukascore ..!,,kamtoa Jesus ,Mahrez kumweka grealish na frenandihno kudefence na kushambulia ...Kuna mikimbio ya jack kidogo ascore ....!

Walker kaumia mapema na kaingia zincheko na kafanikiwa plan ,...kiufupi tulimzidi kila kitu last minute defender wetu kujisahau tu et jitu linakuja humu pep kafeli ,sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....!

Hatuna sijui europian cup ,life goes on ,hatuna sijui uefa but we go ,this is over and we move on ...!

This is our city
 
Yaya Touré's agent in 2018: “Pep turned all Africa against himself. I’m sure that many African shamans in the future will not allow Guardiola to win the Champions League. This will be for Guardiola an African curse. Life will show whether I am right or not.”

[emoji390] @Goal233
IMG_20220505_061756_396.jpg
 
Mashabiki kama Nyie Mimi nawaita vilaza tu ,pep akiwin game 12 mfululizo utasikia ooh pep ni genius ,bonge la kocha ,Jana tu kapoteza semi final Tena game ambayo alikuwa kashamaliza ni vile tu hatukuwa na bahati ,ila unakuta kilaza kama huyo huyo et pep kafeli ,sijui atupishe .,,mothef**CK ..!

Mimi sina cha kumalaumu pep ,kamtoa kDB kamuweka gundogun na game ikabadika tukascore ..!,,kamtoa Jesus ,Mahrez kumweka grealish na frenandihno kudefence na kushambulia ...Kuna mikimbio ya jack kidogo ascore ....!

Walker kaumia mapema na kaingia zincheko na kafanikiwa plan ,...kiufupi tulimzidi kila kitu last minute defender wetu kujisahau tu et jitu linakuja humu pep kafeli ,sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....!

Hatuna sijui europian cup ,life goes on ,hatuna sijui uefa but we go ,this is over and we move on ...!

This is our city

Acha kulialia ww sindio unaeongoza kutoa shit zisizo zakifootball kule kwenye majukwaa yawenzako ww
 
Back
Top Bottom