Hiyo Madrid Haina ubora wowote mzee labda ni vile football inamatokeo yake .....!
Any way wacha tuendelee na ligi uefa tutajiandaa next season ...!
Fabio Capello kamshauri Pep aje na mbinu nyingine hii imefeliHata Bayern Munich alifeli kubeba UCL. Alitembelea sana upepo wa Messi, Xavi, Iniesta, Etoo na wengineo.
Alikuwa anakatiza na kanga moko kwenye majukwaa ya watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani kabla ya mechi ulivyokuwa unapita kwenye majukwaa ya Watu na kujichekeshachekesha hukuamini kama utakuwa mnyonge kiasi hichi.
Lazima wawili wakunganganie hapa HahahaGame epl zilizobaki ...
Vs Newcastle
Vs westham
Vs wolves
Vs astonvilla
Let's go
Hatuna majeruhu hata mmoja ,hatuna michuano mingine sijui kupumzisha wachezaji ...Lazima wawili wakunganganie hapa Hahaha
Uchambuzi bora sana huu. [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]Kaka mimi naona Laporte siku hizi simuelewi kabisa,bora Stones awe anacheza.
Sijui kwa nini anampenda sana Laporte wakati ana concid goli nyingi sana.Mzuri kwny kushambulia tu ila tukiwa tunashambuliwa anazingua tu.Anampa shida tu Diaz.
Bila Stones ile gemu na Atletico ya away tungepigwa nyingi tu.Stones ni kitasa na anajua majukumu yake.Zile Counter tunazofungwaga kila siku ni sababu za Laporte kujisahau.
Zincheko now na yeye benchi limemshusha viwango sio kama yule wa zamani.
Ederson ni mtu,huwezi kipa ukapewa kila kitu.Kwanza anajiamini pia ni mzuri wa kuanzisha mashambulizi.Labda tu yeye kwny mechi kubwa huwa ana kitete
Man city kwny big match huwa tunawahi kukata tamaa mapema na tunachanganyikiwa sana endapo tukifungwa goli.Tunahitaji captain ambaye anaweza kuslow down pressure za wachezaji kwny hali ngumu kuturudisha mchezoni.
Tunahitaji wazee kwny timu yetu.Maana hakuna kijiji kisichokuwa na mzee.Tunahitaji mtu ambaye anasikilizwa na wenzake.
Sio captain unampa eti Sterling au De bruyne mtu ambaye ana hasira za karibu.Captain ilibidi awe km Walker maana Fernandinho ndo huyo anaondoka.Gundogan ndo huyo mpole tu.
Tunahitaji mtu ambaye ataamsha munkari changing room au uwanjani tukijisahau.
All in all Man City we are the best team
Watu bado mko na sie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh teh. Naona mmeingia kwa kishindo
Na tunachukua kombe letu, [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]Game epl zilizobaki ...
Vs Newcastle
Vs westham
Vs wolves
Vs astonvilla
Let's go
Tupe update ya majeruhi ya Kyle walker baada ya kupgwa mchaka mchaka na vinicius junior mpaka msuli kubana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatuna majeruhu hata mmoja ,hatuna michuano mingine sijui kupumzisha wachezaji ...
Jumapili tunacheza full squad na Newcastle....!
Mlongo si utulie basi nawe khaaah. Hapo mlipo hata hamuamini km tumetoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbinu pekee ya ninyi kupata UEFA n kuliiiba tu
Huyo Newcastle anapigwa hata na akina ake mzee , [emoji28]
Mfunge kwanza Spurs ndio uje uongee na wanaume kama sisi ..!
Kuna maisha nje ya mpira, km wee maisha yako umewekeza kwa mpira tyuuh ni wee.Yaani kabla ya mechi ulivyokuwa unapita kwenye majukwaa ya Watu na kujichekeshachekesha hukuamini kama utakuwa mnyonge kiasi hichi.
Mimi nafurahia Sana team langu man city ,team kubwa imetolewa semi final na dunia nzima inatuzungumzia , headline ulaya nzima ni man city [emoji28][emoji28][emoji28]
Radio ,tv ,wachambuzi wote wanazingimzia the big team Manchester city [emoji28][emoji28][emoji28]
Hadi vilaza ambao hawajui mpira ,wanamzungumzia bernado Silva ,Mahrez ,kDB [emoji28][emoji28]
This is ze cityzen baby ,come on [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Na bado mtateseka Sana [emoji28] next season tunavunja kibubu kingine Β£300milion kumchukua halaand,na DM ....!
Hahaha. Just hahahaWatu bado mko na sie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamuamini km tumetoka? Msiogope sie tumewaachia nyie mpambane.
Teh teh teh teh. Hamia kiumeni achana na team mbofu mbofu hizo.Sasa Chelsea tunafanana nae? Yeye anazo 2 sisi je?
Yaan had Aston Villa hatufanan nae, city inatuumiza sana watu wake, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Alikuwa anakatiza na kanga moko kwenye majukwaa ya watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]