Na ikawe hivyoKabla leo jogoo hajawika Steven Gerald atakuwa amemkana klop mara 3,na kombe wataliona hilo Etihad then walingoje after 30yrs.
Shona Dela mkuu uvaeNimeshashona suti mapema kabisa ,kwa ajili ya kusherekea ubingwa ...kuanzia Leo saa mbili usiku ni mwendo wa kugogesha glass mpaka kukuche ..!
Pain killer usije kujiharishia tuTable imerudi kama mwanzo ,tumebakisha game moja .....
Tunabeki mbovu ambazo hazijawahi kutokea aisee ,yaani nikimuona frenandihno anacheza RB nabaki nacheka tu[emoji28]
Game na astonvilla sioni ikiwa nyepesi ,villa wako makini Sana ,na kwa beki zetu zileee aloooooo aloooooooooo .....!
Hii ni fainal nyingine tunaenda kucheza na astonvilla .....
Sasa kama tutashindwa kumfunga astonvilla kwenye final....no comment
Ubingwa ndo tunauachia hivyo.
Ukiona line up ina fenadinho ujue uchochoro