Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Ederson [emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unatukubali eeh?.Ederson kinachomuweka goli ni uwezo wa kupiga shuti mbali , accurate pass anazotoa kwa wachezaji wakati akirudishiwa mpira ....
ila Ederson kuhusu kudaka mpira hapo unamuonea [emoji28] ndio maana huwezi kuta akiokoa mipira kwenye one Vs one ,au kutoa penalty ...!
Kuna muda pep anatamani kucheza na false goalkeeper [emoji28][emoji28] na Kuna siku ataanza kutumia huo mfumo walahi ....Ederson sio kipa kabisa ni false goalkeeper hili swala watu wengi hawajalijua .....
Kuna magoli tunafungwa ukiangalia unaona kabisa angekuwa Mendy au Allison lazima angezitoa ,...!
View attachment 2230646
Unasemaje bata majiNyumbu watoto laana fc
hafu hii ya kuwapima mabeki kwa clean sheet sidhani kama ina usawa ubora wa kipa ungekuwa una pimwa kwa saves ngapi sasa hao wote beki zao ni nzuri kipa hata hapati changa moto.Ederson [emoji91]View attachment 2232141
Kuna mechi zimeisha Ederson ajapigiwa hata shot moja lililo lenga lango yani.Ni kweli kabisa Chief. Beki zetu zimetuangusha sana msimu huu. Zimeshindwa kumlinda Degea kabisa.
Usije ukachanganyikiwa dogo naona unajiongelesha mwenyeweLiverpool ; man city wana beki mbovu sana,wanafungwa hovyo ,ila sisi tunaukuta haupitiki VVD na matip wako solid [emoji28]
Mtangazaji ; lakini Ederson ana cleen sheet nying sawa na Allison (20 clean sheet )
Liverpool ;. Huyo ederson Hana umahiri wowote anabebwa na beki ,wanabeki imara Sana man city ( dias , Laporte,stone ni solid defence) ndio zinambeba ederson ,lakin Allison ana save nyingi Sana [emoji28] [emoji28][emoji28][emoji14]
Ok manka nimekuelewa[emoji120][emoji120]Nimeshakuonya kuwa na heshima, au mpaka nikutukane nipate Ban?
Wewe ni Qumer tu kama ma-Qumer wengine.
Manka ni Baba yako, fala wewe.
Amka ndotoniFull time Man city 1-1 Aston Villa. Liverpool 3-0 Wolves. Haya sasa nani bingwa hapo
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Kabla leo jogoo hajawika Steven Gerald atakuwa amemkana klop mara 3,na kombe wataliona hilo Etihad then walingoje after 30yrs.Man city tuna waombea msiwaachie hao liverkuku kombe pigeni hao Aston villa.