The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kumbe nanyi mwataka Epl msijali baada ya miaka 30 ijayo mtachukua tena,ila sasa wanaume tupo kazini,pamoja na wagonga nyundo kujitahidi kutupunguzia mwendo safari ya mafanikio kamwe hawajaweza kuizuia.

Mwanamme kwa kumfunga Leeds?
Wakiitwa mbele wanaume wa UCL City hawezi kujitokeza
 
.
mancityworld-20220516-0001.jpg
 
Quadruple ni 100%
Klopp kabadiri wachezaji 9 leo na anacheza vyema sana dhidi ya Soton!
Wewe kuwa tu unfit Dias unafungwa bao za ajabu sana
Coutihnoooooo!
 
inasemekana gundo anaondoka mwishoni mwa msimu huu na mpaka Sasa kashapanda ndege kuelekea spain ....!!!
mancityzenscom-20220518-0001.jpg
 
Back
Top Bottom