Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Kumbe nanyi mwataka Epl msijali baada ya miaka 30 ijayo mtachukua tena,ila sasa wanaume tupo kazini,pamoja na wagonga nyundo kujitahidi kutupunguzia mwendo safari ya mafanikio kamwe hawajaweza kuizuia.
Mwanamme kwa kumfunga Leeds?
Wakiitwa mbele wanaume wa UCL City hawezi kujitokeza