Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Hapa kidogo mmjejitahidi kujenga sanamu la Aguero kwa 70% - 75% limefanana na Aguero [emoji847]Mbona huyo ni aguero ,labda watu wameakua kakaza ubongo tu View attachment 2223697
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kidogo mmjejitahidi kujenga sanamu la Aguero kwa 70% - 75% limefanana na Aguero [emoji847]Mbona huyo ni aguero ,labda watu wameakua kakaza ubongo tu View attachment 2223697
Jitahidi kula mboga za majani kijana mdogo unakula ugoro ona Sasa madhara yake [emoji28][emoji28]Hata picha huoni hao ni watu wawili tofauti
Hilo Hilo wengine wanasema ni Kross[emoji28][emoji28][emoji28]Hapa kidogo mmjejitahidi kujenga sanamu la Aguero kwa 70% - 75% limefanana na Aguero [emoji847]
Huu msimu man utd walikuwa wanaingia uwanjan kurukaruka tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sio vizuri hivyoView attachment 2223957
Leo katupia game ya DortmundYote wameyataka Real Madrid haya , tunaokuja kuumia nini sisi huku kwenye ligi yetu ya Malkia daah , sasa Haaland wa nini tena kwani Gabriel Jesus hatoshi ? [emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2224611
Kombe lenyewe bayaaaaTupate tangazo la mdhamini au mnasemaje man shity fans View attachment 2224753
Sasa iangalie hiyo sura ya sanamu na iangalie sura ya Kroose then utajua hiyo sanamu ni ya nani.imepita Sasa miaka 10 Toka aguero afunge goli lake la maajabu dakika ya 93:20 na kuipa man city ubingwa kwa goal difference mbele ya united ....
Toka may 2012 Hadi may 2022 ni miaka kumi ...
Hili sanamu la aguero limejengwa kama heshima na kumbukizi ya kumuenzi aguero ...
ila kama kawaida Kuna vilaza kutoka Liverpool wao wanasema huyo ni Kross [emoji28]
An way Tunahitaji maadui wengine wengi wanaotuchukia View attachment 2223698
Unateseka ukiwa wapi bwana mudogoKombe lenyewe bayaaaa
Huyu atakuwa kama Grelish tuu wamemleta kwa ajili ya UEFAYote wameyataka Real Madrid haya , tunaokuja kuumia nini sisi huku kwenye ligi yetu ya Malkia daah , sasa Haaland wa nini tena kwani Gabriel Jesus hatoshi ? [emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2224611
Ngoja aje atakuja kuwa na chupi tuYote wameyataka Real Madrid haya , tunaokuja kuumia nini sisi huku kwenye ligi yetu ya Malkia daah , sasa Haaland wa nini tena kwani Gabriel Jesus hatoshi ? [emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2224611