The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Vilabu vya Spain [emoji1069] na England [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 vyenye Mataji mengi ya kimataifa.

[emoji783] Real Madrid [emoji1069]
[emoji736] UEFA champions league = 13
[emoji736] UEFA Europa league = 2
[emoji736] UEFA Super Cup = 8
[emoji736] Club World Cup = 4
Total > 13+2+8 = [emoji2390][emoji2395] trophies [emoji471]

[emoji783] Liverpool [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
[emoji736] UEFA champions league = 6
[emoji736] UEFA Europa league = 3
[emoji736] UEFA Super Cup 4
[emoji736] Club World Cup = 1
Total > 6+3+4 = [emoji2389][emoji2391] trophies [emoji471]

[emoji3490]Barcelona [emoji1069]
[emoji736] UEFA champions league = 5
[emoji736] UEFA Europa league = 0
[emoji736] UEFA Super Cup = 5
[emoji736] Club World Cup = 3
Total > 5+5 = [emoji2389][emoji2388] trophies [emoji471]

[emoji3490]Chelsea [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
[emoji736] UEFA champions league = 2
[emoji736] UEFA Europa league = 2
[emoji736] UEFA Super Cup = 2
[emoji736] Club World Cup = 1
[emoji736] UEFA Cup = 1
Total > 2+2+2+1+1 = [emoji2396] trophies [emoji471]

[emoji3490]Manchester United [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
[emoji736] UEFA champions league = 3
[emoji736] UEFA Europa league = 1
[emoji736] UEFA Super Cup = 1
[emoji736] Club World Cup = 1
[emoji736] UEFA Cup = 1
Total > 3+1+1+1+ = [emoji2394] trophies [emoji471]

[emoji3490]Meanwhile Manchester City[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
[emoji736] UEFA champions league = 00
[emoji736] UEFA Europa league = 00
[emoji736] UEFA Europa Conference league = 00
[emoji736] Super Cup = 00
[emoji736] Club World Cup = [emoji2388]
Huu mwaka mtateseka Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumchukie Pep kwasababu ya EPL na mickey mouse cups ambazo zote Klopp keshabeba. Si tunaongea ukweli PEP kama ilivyo kwa makocha wanaopita PSG lengo ni kushinda UEFA sio makombe ya ndani ambayo wanashinda almost kila msimu
Mashabiki wa liverfool wanamchukia Pep kwa masilahi yao binafsi maana Pep amekua ni kikwazo kikubwa kwao kwenye Epl. Kwani Pep kwenye UCL si alishabeba akiwa na Barca? City watachukua tu muda bado upo. Nyie endeleeni na wachezaji wenu kuhamasishwa ndo maana wanakata upepo wa kushinda mechi nyingi EPL.
 
Daah we jamaa wewe , wanakata upepo vip kwenye ligi wanakupumlia kisogoni , FA walikutoa na sasa wapo fainali, Wana kombe la carbao na wapo final champions League ambayo wewe ulipigwa goli 6, chukueni international trophy makombe ya ligi hata Pablo anachukua.....!! Na mkicheza vibaya mnaondoka kapa msimu huu
 
Naona mateso yako ni makali Sana , [emoji28] ..

Huu msimu mtahangaika na kuteseka Sana [emoji28]

Chelsea anakuchapa FA ,maana Liverpool tayari upepo umeshakata ,sisi tu tunaoona mbali ndio tunajua kuwa mnastruggle kinoma kupata goli siku hizi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Daah we jamaa wewe , wanakata upepo vip kwenye ligi wanakupumlia kisogoni , FA walikutoa na sasa wapo fainali, Wana kombe la carbao na wapo final champions League ambayo wewe ulipigwa goli 6, chukueni international trophy makombe ya ligi hata Pablo anachukua.....!! Na mkicheza vibaya mnaondoka kapa msimu huu
Washauri aisee zikitajwa klabu zinatotambulika ulaya hawa Man shity hawamo wameshindwa hata na Nottingham Forest
 
Vilabu vya Spain [emoji1069] na England [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 vyenye Mataji mengi ya kimataifa.

[emoji783] Real Madrid [emoji1069]
[emoji736] UEFA champions league = 13
[emoji736] UEFA Europa league = 2
[emoji736] UEFA Super Cup = 8
[emoji736] Club World Cup = 4
Total > 13+2+8 = [emoji2390][emoji2395] trophies [emoji471]

[emoji783] Liverpool [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
[emoji736] UEFA champions league = 6
[emoji736] UEFA Europa league = 3
[emoji736] UEFA Super Cup 4
[emoji736] Club World Cup = 1
Total > 6+3+4 = [emoji2389][emoji2391] trophies [emoji471]

[emoji3490]Barcelona [emoji1069]
[emoji736] UEFA champions league = 5
[emoji736] UEFA Europa league = 0
[emoji736] UEFA Super Cup = 5
[emoji736] Club World Cup = 3
Total > 5+5 = [emoji2389][emoji2388] trophies [emoji471]

[emoji3490]Chelsea [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
[emoji736] UEFA champions league = 2
[emoji736] UEFA Europa league = 2
[emoji736] UEFA Super Cup = 2
[emoji736] Club World Cup = 1
[emoji736] UEFA Cup = 1
Total > 2+2+2+1+1 = [emoji2396] trophies [emoji471]

[emoji3490]Manchester United [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
[emoji736] UEFA champions league = 3
[emoji736] UEFA Europa league = 1
[emoji736] UEFA Super Cup = 1
[emoji736] Club World Cup = 1
[emoji736] UEFA Cup = 1
Total > 3+1+1+1+ = [emoji2394] trophies [emoji471]

[emoji3490]Meanwhile Manchester City[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
[emoji736] UEFA champions league = 00
[emoji736] UEFA Europa league = 00
[emoji736] UEFA Europa Conference league = 00
[emoji736] Super Cup = 00
[emoji736] Club World Cup = [emoji2388]
Pep akiona hii comment lazima akune kipara mpaka kichubuke Hahahaha
 
Nice gesture by Man City to honour Toni Kroos for his part in knocking them out of the #UCL this season.
20220513_220704.jpg
 
imepita Sasa miaka 10 Toka aguero afunge goli lake la maajabu dakika ya 93:20 na kuipa man city ubingwa kwa goal difference mbele ya united ....

Toka may 2012 Hadi may 2022 ni miaka kumi ...

Hili sanamu la aguero limejengwa kama heshima na kumbukizi ya kumuenzi aguero ...

ila kama kawaida Kuna vilaza kutoka Liverpool wao wanasema huyo ni Kross [emoji28]

An way Tunahitaji maadui wengine wengi wanaotuchukia
mancityzenscom-20220514-0001.jpg
 
imepita Sasa miaka 10 Toka aguero afunge goli lake la maajabu dakika ya 93:20 na kuipa man city ubingwa kwa goal difference mbele ya united ....

Toka may 2012 Hadi may 2022 ni miaka kumi ...

Hili sanamu la aguero limejengwa kama heshima na kumbukizi ya kumuenzi aguero ...

ila kama kawaida Kuna vilaza kutoka Liverpool wao wanasema huyo ni Kross [emoji28]

An way Tunahitaji maadui wengine wengi wanaotuchukia View attachment 2223698
Huyo ni Tony Kroos kabisa kwa 100%, mi ni mshabiki wa Chelsea FC [emoji1]
 
Back
Top Bottom