The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Oyoooooo sisi ndio champions ,hatutarudia tena kukaribiana points na timu yeyote ile maana ilikuwa kidogo tu tuachie kombe
Sasa tuna best player HAALAND
So wakae kwa kutulia
Misimu yote ijayo kombe litakuwa letu
Epl ishakuwa yetu
Mbinde ni kwenye UEFA tu hapo mambo ndio huwa magumu
 
Hapana mkuu ni bahati tu haijawa upande wetu siku yaja nalo litaingia ndani ya nyumba wala hatuna shaka kabisa.
 
Mahrezi Leo hakuwa kwenye form ...

Benardo silva Leo hakuwa kwenye form ...

Sub ya bernado na gundogan ilikuwa karata turufu Sana Leo ,pep kafanya maamuzi mapema ....!

Pamoja na gundo kutupa epl ,anaweza kuondoka na msimu ujao sidhani kama atakuwepo city...


Haaland next season yupo ..

Tunahitaji RB wa kusaidizana na walker maana daaa frenandihno anapewa majukumu amabayo sio yake kabisa ....

Ndihno anaondoka msimu huu ,not bad kwan umri unaenda ,Tunahitaji DM kuziba nafasi yake .....

Arsenal hawana hela za kumchukua Jesus naona akibaki city ,£55million wameshindwa kuzitoa kwa Jesus ....

Bado tupo kwenye peak ,next season tunaenda kulitetea Tena taji letu ....

Polen Sana liverpool ,mna PL 1 Toka epl ianze 1992 [emoji28][emoji28][emoji28]nawakumbusha tu si kwa ubaya
 
Ninaandika ninafuta ...ninaandika ninafuta [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hii timu bado hijawa na mashabiki wengi wenye makelele Kama wa Liverkuku na manure ..kwa hiyo mukibeba nyie Haina noma
 
Nyie kwa Sasa itabidi tuanze kuwazingatia kwanzia msimu ujao muanze kutafuta makombe kwa tochi
 
Na sisi tunawakumbusha mna UEFA 0 Hahahaha
 
EPL chukuweni tu ila UEFA tuachieni wakubwa zenu
 
Hii timu bado hijawa na mashabiki wengi wenye makelele Kama wa Liverkuku na manure ..kwa hiyo mukibeba nyie Haina noma
Shabiki mmoja anajitekenya na kucheka mwenyewe, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…