Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona huyu anataka kuharibu sherehe ya watu.
Mta edit mwaka huu mpaka mkome [emoji28][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Hapana mkuu ni bahati tu haijawa upande wetu siku yaja nalo litaingia ndani ya nyumba wala hatuna shaka kabisa.Oyoooooo sisi ndio champions ,hatutarudia tena kukaribiana points na timu yeyote ile maana ilikuwa kidogo tu tuachie kombe
Sasa tuna best player HAALAND
So wakae kwa kutulia
Misimu yote ijayo kombe litakuwa letu
Epl ishakuwa yetu
Mbinde ni kwenye UEFA tu hapo mambo ndio huwa magumu
Bahati yenu nyie.Madrid anakusubili kuuliza zaidi
Hii timu bado hijawa na mashabiki wengi wenye makelele Kama wa Liverkuku na manure ..kwa hiyo mukibeba nyie Haina nomaNinaandika ninafuta ...ninaandika ninafuta [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nyie kwa Sasa itabidi tuanze kuwazingatia kwanzia msimu ujao muanze kutafuta makombe kwa tochiMahrezi Leo hakuwa kwenye form ...
Benardo silva Leo hakuwa kwenye form ...
Sub ya bernado na gundogan ilikuwa karata turufu Sana Leo ,pep kafanya maamuzi mapema ....!
Pamoja na gundo kutupa epl ,anaweza kuondoka na msimu ujao sidhani kama atakuwepo city...
Haaland next season yupo ..
Tunahitaji RB wa kusaidizana na walker maana daaa frenandihno anapewa majukumu amabayo sio yake kabisa ....
Ndihno anaondoka msimu huu ,not bad kwan umri unaenda ,Tunahitaji DM kuziba nafasi yake .....
Arsenal hawana hela za kumchukua Jesus naona akibaki city ,£55million wameshindwa kuzitoa kwa Jesus ....
Bado tupo kwenye peak ,next season tunaenda kulitetea Tena taji letu ....
Polen Sana liverpool ,mna PL 1 Toka epl ianze 1992 [emoji28][emoji28][emoji28]nawakumbusha tu si kwa ubaya
Na sisi tunawakumbusha mna UEFA 0 HahahahaMahrezi Leo hakuwa kwenye form ...
Benardo silva Leo hakuwa kwenye form ...
Sub ya bernado na gundogan ilikuwa karata turufu Sana Leo ,pep kafanya maamuzi mapema ....!
Pamoja na gundo kutupa epl ,anaweza kuondoka na msimu ujao sidhani kama atakuwepo city...
Haaland next season yupo ..
Tunahitaji RB wa kusaidizana na walker maana daaa frenandihno anapewa majukumu amabayo sio yake kabisa ....
Ndihno anaondoka msimu huu ,not bad kwan umri unaenda ,Tunahitaji DM kuziba nafasi yake .....
Arsenal hawana hela za kumchukua Jesus naona akibaki city ,£55million wameshindwa kuzitoa kwa Jesus ....
Bado tupo kwenye peak ,next season tunaenda kulitetea Tena taji letu ....
Polen Sana liverpool ,mna PL 1 Toka epl ianze 1992 [emoji28][emoji28][emoji28]nawakumbusha tu si kwa ubaya
UEFA sahauni kabisaHapana mkuu ni bahati tu haijawa upande wetu siku yaja nalo litaingia ndani ya nyumba wala hatuna shaka kabisa.
EPL chukuweni tu ila UEFA tuachieni wakubwa zenuOyoooooo sisi ndio champions ,hatutarudia tena kukaribiana points na timu yeyote ile maana ilikuwa kidogo tu tuachie kombe
Sasa tuna best player HAALAND
So wakae kwa kutulia
Misimu yote ijayo kombe litakuwa letu
Epl ishakuwa yetu
Mbinde ni kwenye UEFA tu hapo mambo ndio huwa magumu
Anajitekenya na kucheka mwenyeweUsije ukachanganyikiwa dogo naona unajiongelesha mwenyewe
Huyu hamna kitu huyu [emoji1787][emoji1787]Next season mtaiona sura halisi ya grealishView attachment 2234778
Shabiki mmoja anajitekenya na kucheka mwenyewe, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii timu bado hijawa na mashabiki wengi wenye makelele Kama wa Liverkuku na manure ..kwa hiyo mukibeba nyie Haina noma
.Shabiki mmoja anajitekenya na kucheka mwenyewe, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.Shabiki mmoja anajitekenya na kucheka mwenyewe, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]