Quadraple ya makalio labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh,na hilii ni swala la ku hoji. Haujui kama Man city ni ya juzi tuu???
Unataka kushindanisha na Liverpool ambayo kabla ya man city kujiweka vizuri Liverpool ilikuwa Isha kuwa na historia yake Uingereza.Kina Torres wanasumbua enzi hizo kina Xabi Alonso na wengine wengi.
Lakini nguvu nyingi zinatumika ku battle Liverpool na man city Kwa upande wa fans!!!!
NI SAWA NA NEWCASTLE IFANYE VIZURI HUKO MBELENI IANZE KUFANYA BATTLE NA FANS WA MAN UTD.
Fans wa man UTD huwezi kulinganisha na fans wa man UTd hata makombe pia.
TUache unafiki
Sio kwamba mmetoka zero trophy mwaka huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unatafuta huruma kwa lazimaBingwa wa ligikuu Uingereza alipoomba picha ya pamoja na bingwa wa dunia walipokutana mjini Monaco. View attachment 2242997
Zingatia content hayo mengine ya kwakoSio kwamba mmetoka zero trophy mwaka huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unatafuta huruma kwa lazima
Sasa sisi hio inatuhusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nottingham Forest wamecheza Championship kwa miaka 23, leo hii wamerudi tena kwenye Premier League ikiwa bado Manchester City haijawahi kushinda UEFA Champions League. [emoji23]
Shindeni Champions League kama Nottingham Forest na nyie kama ni rahisi. [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa sisi hio inatuhusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivii hii ya ku force Man city ashinde UCL inakuaje?Shindeni Champions League kama Nottingham Forest na nyie kama ni rahisi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Uefa mbona kombe la kawaida Sana ,huwa nashangaa mnavolipamba ,Hilo kombe litakuja lenyewe Haina haja ya kutumia nguvu ...!Shindeni Champions League kama Nottingham Forest na nyie kama ni rahisi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Sasa tunawaonesha kwanza nani anamiliki England..!Hivii hii ya ku force Man city ashinde UCL inakuaje?
Mbona Arsenal ha fosiwi?
Au haimuhusu.
Unajua Arsenal ina historia kubwa ukiacha kuwa hawajawahi kushinda UCL. Man City mna moja ya timu bora barani Ulaya kwa sasa lakini wachezaji wenu wa sasa ndiyo wana-set standards mpya za City. Inafikirisha legends wenu wanaotambulika ni Aguero na Kompany tu, wachezaji wenu wa sasa hawana sehemu wanaweza ku-reflect na kusema tunafanya chini ya standards za Man City, so nyie kufika tu final bila kushinda ni achievement kubwa sana vitu vingi kwenye kikosi chenu ni vipya. Club kama Manchester United ikifanya vibaya wanajitafuta kurudi kwenye standards zao kama walichofanya Liverpool.Hivii hii ya ku force Man city ashinde UCL inakuaje?
Mbona Arsenal ha fosiwi?
Au haimuhusu.
Hahaha! Yani UCL ni kombe la kawaida sana siyo? Labda kwasababu timu yako haijawahi kushinda.Uefa mbona kombe la kawaida Sana ,huwa nashangaa mnavolipamba ,Hilo kombe litakuja lenyewe Haina haja ya kutumia nguvu ...!