The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Duuh,na hilii ni swala la ku hoji. Haujui kama Man city ni ya juzi tuu???

Unataka kushindanisha na Liverpool ambayo kabla ya man city kujiweka vizuri Liverpool ilikuwa Isha kuwa na historia yake Uingereza.Kina Torres wanasumbua enzi hizo kina Xabi Alonso na wengine wengi.

Lakini nguvu nyingi zinatumika ku battle Liverpool na man city Kwa upande wa fans!!!!

NI SAWA NA NEWCASTLE IFANYE VIZURI HUKO MBELENI IANZE KUFANYA BATTLE NA FANS WA MAN UTD.

Fans wa man UTD huwezi kulinganisha na fans wa man UTd hata makombe pia.

TUache unafiki
 
Quadraple ya makalio labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kalale kijana ,kafanye parade na Micky mouse cup zenu hizo [emoji23][emoji23]
 
[emoji1021][emoji146][emoji41]
20220529_075051.jpg
 
Nottingham Forest wamecheza Championship kwa miaka 23, leo hii wamerudi tena kwenye Premier League ikiwa bado Manchester City haijawahi kushinda UEFA Champions League. [emoji23]
 
Nottingham Forest wamecheza Championship kwa miaka 23, leo hii wamerudi tena kwenye Premier League ikiwa bado Manchester City haijawahi kushinda UEFA Champions League. [emoji23]
Sasa sisi hio inatuhusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shindeni Champions League kama Nottingham Forest na nyie kama ni rahisi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivii hii ya ku force Man city ashinde UCL inakuaje?

Mbona Arsenal ha fosiwi?

Au haimuhusu.
 
Hivii hii ya ku force Man city ashinde UCL inakuaje?

Mbona Arsenal ha fosiwi?

Au haimuhusu.
Unajua Arsenal ina historia kubwa ukiacha kuwa hawajawahi kushinda UCL. Man City mna moja ya timu bora barani Ulaya kwa sasa lakini wachezaji wenu wa sasa ndiyo wana-set standards mpya za City. Inafikirisha legends wenu wanaotambulika ni Aguero na Kompany tu, wachezaji wenu wa sasa hawana sehemu wanaweza ku-reflect na kusema tunafanya chini ya standards za Man City, so nyie kufika tu final bila kushinda ni achievement kubwa sana vitu vingi kwenye kikosi chenu ni vipya. Club kama Manchester United ikifanya vibaya wanajitafuta kurudi kwenye standards zao kama walichofanya Liverpool.

Arsenal hawawezi kuwa forced kushinda UCL kwasababu wame-drop kutoka kwenye standards walizo-set wakina Wenger. City na PSG wanakuwa forced kwasababu ndiyo wanaaminika kuwa na vikosi bora barani Ulaya. Ukiwatazama Madrid standards walizoweka wachezaji waliopita wao kufika tu semi-finals ni kitu cha kawaida, kushinda ni kama wajibu wao na wachezaji wanakuwa na ari ya kuzidi kendeleza historia. Nyie bado ni club ndogo sana.
 
Uefa mbona kombe la kawaida Sana ,huwa nashangaa mnavolipamba ,Hilo kombe litakuja lenyewe Haina haja ya kutumia nguvu ...!
Hahaha! Yani UCL ni kombe la kawaida sana siyo? Labda kwasababu timu yako haijawahi kushinda.
 
Sane Hana furaha buyern ,Kuna uwezekano akarudi city...!

Huko buyern nasikia wamekiwasha ,lewandosky kakiwasha anataka kuondoka [emoji28]
 
Manchester City chairman Khaldoon Al Mubarak: “I can confirm that there will be more players coming in this summer”. [emoji838] #MCFC

“We’ve in Haaland the best number 9 in the world - Julián Álvarez, one of the most talented strikers in South America… and there will be more signings”.

Mimi nasema hivi england msimu ujao hakuna mbwa atakayetugusa walahi ...yaani kwa vyuma wanaotaka kutua city ,ni mwendo wa kutembeza fimboo
 
Back
Top Bottom