The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sasa hapo pep ajabebea kwenye timu yenu.

Muache kumlinganisha pep aliyemtoa jasho furguson na kumtetemesha mkono na huyo panya buku wenu klop..!huyo klopp anakismart kukutana na Spurs final vinginevyo tungekuwa tunahesabu kama kocha aliyepoteza final 4 mfululizo ..!
 
Juzi nimencheki zincheko kwenye play off ya world cup vs Scotland..!

Nimegundua zincheko ni mzuri kushambulia,kiufupi pep anatakiwa kutumia zincheko kama Attacking midfielder sio LB Tena ...!
 
Juzi nimencheki zincheko kwenye play off ya world cup vs Scotland..!

Nimegundua zincheko ni mzuri kushambulia,kiufupi pep anatakiwa kutumia zincheko kama Attacking midfielder sio LB Tena ...!

Zin is very talented.

Pep anapenda mbavu ambazo ni talented, tangu kipindi akiwa Barca with Alves na Bayern with Lahm & Kimmich.

Now he got Zin and Cancelo.
 
Live nikiwa Jiji la Manchester..Bado tunakata keki huku na kusherekea ubingwa

Nipo katikati hapo nimevaa kofia
 
Nottingham Forest wamecheza Championship kwa miaka 23, leo hii wamerudi tena kwenye Premier League ikiwa bado Manchester City haijawahi kushinda UEFA Champions League. [emoji23]
Mpaka sasa Pep hajafanya cha maana kuwazidi Mancini na Pellegrini hapo shity
 
mkuu Pain killer Ukwapi ndugu yangu pamoja na kumsajiri halaand bado uzi utembei una uhakika hii timu ina mashabiki kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…