Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo pep ajabebea kwenye timu yenu.Klopp yupo wapi hapa [emoji14]View attachment 2244880
Sasa hapo pep ajabebea kwenye timu yenu.
Dah yani hii page asipojiongelesha Pain killer ndo basi[emoji1787][emoji1787]
Juzi nimencheki zincheko kwenye play off ya world cup vs Scotland..!
Nimegundua zincheko ni mzuri kushambulia,kiufupi pep anatakiwa kutumia zincheko kama Attacking midfielder sio LB Tena ...!
Mpaka sasa Pep hajafanya cha maana kuwazidi Mancini na Pellegrini hapo shityNottingham Forest wamecheza Championship kwa miaka 23, leo hii wamerudi tena kwenye Premier League ikiwa bado Manchester City haijawahi kushinda UEFA Champions League. [emoji23]
Tunakunywa kahawa kwanza ,[emoji18]mambo ya football subili next seasonMpaka sasa Pep hajafanya cha maana kuwazidi Mancini na Pellegrini hapo shity
mkuu Pain killer Ukwapi ndugu yangu pamoja na kumsajiri halaand bado uzi utembei una uhakika hii timu ina mashabiki kweli.
Ngoja na nyie uzi wenu usogeepo juu usije ukafutwa bure na moderate.