The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Halaand

Phillips

Cucurella deal lipo njian ......

This season sijui pep atajificha wapi ,maana kuchukua PL kila mwaka nako inaboa ....

Yaani Sasa hivi fans wa city tunaboreka kuchukua PL[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
 
Halaand

Phillips

Cucurella deal lipo njian ......

This season sijui pep atajificha wapi ,maana kuchukua PL kila mwaka nako inaboa ....

Yaani Sasa hivi fans wa city tunaboreka kuchukua PL[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Msimu huu walai hatuna macheko na vifaranga na kuku wao muda tupo [emoji91]ile mbaya.
 
Luke mbete naye yupo ndani ya mjengo raha inazidi kuongezeka kila paitwapo leo.
 
Luke mbete naye yupo ndani ya mjengo raha inazidi kuongezeka kila paitwapo leo.
Mkuu huyu Luke mbete ni central back (CB) ametokea academy naona pep anampa mkataba for future ....

Anamiaka 18 ....

Kuna madogo wengi kule academy ni wakali wanajaribu kutafuta nafasi ya kupenya mpaka kikosi cha kwanza ,lakin inakuwa ngumu hatari ,mtu kama palmer ,delap Leo Luke mbete .....Hawa madogo sidhani kama watakaa city Sana ,mwisho wa siku watauzwa maana hawezi kusubili.....

Mtu kama mbete maana yake anasubili either kina dias ,stone , Laporte wapate injury au waflop ili apate nafasi ya kucheza kitu ambacho ni ngumu ...

Palmer hawezi pata namba mbele ya foden ,halaand ,na soon Julian Alvarez anatua ....

Hawa madogo wa academy sijui kama watapenya kama foden alivopita maana huku first team Kuna miamba hatari .....

@lukembete has signed a new contract with Manchester City! [emoji3578]

The 18-year-old has agreed a three-year extension, signing a new deal which keeps him at the Etihad Stadium until the summer of 2027.
 
Huyu mbete nikimuangalia ni design kama ya Ibrahim konate WA liverpool,ana mwili na nguvu ....

Tatizo linakuja hapa pep anaweza kumwamin? Pep sometimes anakuwa mgumu Sana kumwamini mchezaji ,....

Nikikumbuka otamendy alivoondoka aisee ,...

Leo pep anawaamin kina stone , Laporte,na dias kama CB na ndio maana saizi anatafut pengo la walker RB ...

Steffan naye Hana maisha pale Etihad , goalkeeper mwingine anatafutwa na soon anatangazwa ,steffan ule ujinga aliofanya kwenye game ya fa dhidi ya Liverpool kwa kumpa mane goal la kijinga nilijua tu hatakuja kurudi uwanjani Tena ....pep hapend ujinga ....Sasa arudi kwao marekani tu akacheze vilabu vya huko ....!
 
Huyu ni goalkeeper ambaye anategemewa kuchukuliwa kuziba nafasi ya Zack steffan,so atakuwa goalkeeper namba mbili ...

Baada ya Zack steffan kuzingua ..

Huyu ni mjerumanj ,anamiaka 29 ,free transfer kiufupi hajawai kucheza kwenye team kubwa ila sijajua Scout wetu wametumia vigezo gan aisee

Stefan Ortega has a verbal agreement in place with Manchester City. He's now waiting for the green light from the club, as they're looking for a solution for Zack Steffen.


 
Huyu anaenda kukaaa bench mpaka ataomba mwenyewe kuuzwa ,....

Sion kama anaweza kuanza mbele ya Laporte,stone au dias ....

Pep kashakalili combination ya ...

Dias ---laporte

Laporte --stone
 
Mchezaji ataye umiza moyo wangu kuondoka city kwa sasa ni BS huyu kijana ni kiungo mhimu sana kwetu.
 
Mchezaji ataye umiza moyo wangu kuondoka city kwa sasa ni BS huyu kijana ni kiungo mhimu sana kwetu.
Bernado Silva hawezi kuindoka na pep kashatangaza kuwa is there to stay ....

Wachezaji wanaoweza kuondoka msimu huu ....

Jesus ( huyu Deal limeshakamilika kwenda arsenal ....

Sterling ( ku a uwezekano wa kumuacha aende au wampe mkataba mpya Bado Kuna nivute nikuvute )

Zincheko ( Kuna tetesi za yeye kutaka kuuzwa japo Nina uhakika hawezi uzwa ni bonge la LB ..


Bernado silva Bado yupo Sana na pep kasha confirm ....


Vita iliyopo ni rodri Vs kalvin Phillips

Aisee kwa Sasa rodri ndio yupo moto na ndio anamiliki pale kati ,ilionekana ni mbadala wa frenandihno...


Frenandihno kaondoka ,pep kamleta kalvin Phillips ...

Kati ya Phillips na rodri nan atamsubili mwenzake ,nan atapewa dakika nyingi ,kuhusu rotation pep haiwezi ,mchezaji anayeperfom to the maximum ndio anaenda nae ....

Kalvin Phillips uingereza unambeba ,huenda akawahi kuaminiwa na pep ,japo city mambo ya uingereza hawayapi nafasi Sana , example grealish ...

Wacha tuone ....
 
Kuifupi tu kule academy Kuna madogo kibao wanapambana ,huyu hapa riley anacheza CB na kwenye game ya CL round ya pili dhidi ya Lisbon aliingia ...

Anautulivu lakin ndio hivo kaamua kuuzwa Burnley ....

Manager wa Sasa wa Burnley ni Vincent kompany may be wemaamua kumpa .....

ila huyu ndio alitakiwa kubaki badala ya mbete ....tena tumemuuza Bei ya jion kabisa [emoji28]

CJ Egan-Riley Is Set To Join Burnley On A Permanent Deal. The Initial Fee Is £350,000 And A Further £400,000 Based On Games. City Will Also Receive A Percentage Of Any Further Sale. #mcfc {Alan Nixon}
 
Kiungo pekee duniani anaeweza muweka bech rodri Hernandez ni Sergio busquets
 
.zincheko bana yeye kila time timu ikiwaga imelemewa analiaga[emoji23]
 
Kwa usajiLi wa phiLLips sijajua pep anafikiria nn either mmoja aanzie bench au waanze woTe phiLLippS na roDri
LakiN piA InSHu ya striKer kapaTa wawiLii waTaaNza woTe kea4-4-2 au nd Rotation

TusiPoBeBa champioNs neXt Season cjuW peP aTatuambia nn cityzen imeFkia haTua mashinDano ya champioNs League nakUa sHabiK wa TiMu nyiNgne NkijuA2 guNdU LinatuFatA

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28]mkuu hapa kwa striker tuombe Mungu halaand afike na awashe moto .....

Akianza kustruggle tu kuizoea epl basi tutakuwa kwenye danger Kwan Jesus huyo kashaondoka ,sterling na yeye anaweza kusepa....

Kwa hiyo hapa itabid pep aendelee kucheza na false nine [emoji14]..! ( Benado Silva anaweza kucheza kama false 9 ,au foden huku Mahrez na grealish wakitokea pembeni)

Kuhusu kalvin Phillips kumuweka bench rodri huo ni uongo kiufupi atakuwa anawafanyia rotation ...


But kwa pep yeyote atakayeonesha makali zaidi basi ananafasi ya kuanza na kupata dakika nyingi ...!
 
Hapa macho yote yatakuwa kwa haaland na anatakiwa acheze bila pressure...!

Maana watu wanaexpect makubwa Sana (hii kitu inaweza kumuwazisha Sana haaland akaanza kuperform kiwango ambacho kidogo sio cha juu ,ila naamin team ya Wana psychology itampa mbinu ...)

Julian Alvarez anaweza kuwepo msimu huu ,..

Any way wacha tuone pre season maana tuna..

Man city vs FC america

Buyern Munich vs man city

Then tunakutana na liverpool community shield
 
..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…