Pamoja na huu usajili wa goalkeeper,Ederson Bado ataendelea kuwa namba moja ...
Kinachomuweka Ederson golin ni ile miguu yake tu ,kupiga long pass , kucontrol mpira na kupiga pass ndefu kwenda mbele ..
ila swala la kuzuia kwa mikono ,one vs one kafeli Sana ....
Je pep ataendelea kumpa Ederson dakika nyingi golin ? Maana Stefan inainonekana ni full goalkeeper
We are pleased to announce the signing of goalkeeper @stefan.ortega1 on a three-year deal [emoji3451]Welcome to City, Stefan! [emoji170]
View attachment 2278391