The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Manchester City have now reached full agreement with Stefan Ortega as new second goalkeeper. Contract set to be completed, but City board still working to find a solution for Zack Steffen. [emoji838]

 
Pamoja na huu usajili wa goalkeeper,Ederson Bado ataendelea kuwa namba moja ...

Kinachomuweka Ederson golin ni ile miguu yake tu ,kupiga long pass , kucontrol mpira na kupiga pass ndefu kwenda mbele ..

ila swala la kuzuia kwa mikono ,one vs one kafeli Sana ....

Je pep ataendelea kumpa Ederson dakika nyingi golin ? Maana Stefan inainonekana ni full goalkeeper

We are pleased to announce the signing of goalkeeper @stefan.ortega1 on a three-year deal [emoji3451]Welcome to City, Stefan! [emoji170]
 
Leo Jesus alikuwa uwanja wa emirate tayari ,amepewa jersey namba 9 ..
 

Pep hajawahi kuwa na mahaba na Full Goalkeeper, Ederson atasalia kuwa namba moja.
Ni kama ulivyosema, Pep anapenda keeper awe good with his feets, team ikiwa na mpira golikipa anakuwa beki.

Kumbuka Pep alimkuta Joe Hart akiwa ni bonge moja la shot-stopper lakini alikula benchi.

Mpira siku hizi una evolve, shot-stopper hawatakiwi, Sweeper-keeper ndio habari ya mjini siku hizi i.e Neuer, Ter Stegen, Alisson, Ederson n.k

David de gea anakaa benchi timu ya Taifa Spain, sio mzuri akiwa na mpira miguuni.
 
Mkuu joe hart alikuwa bonge la goalkeeper aisee ,sijui pep kwanini alimuacha kabisa ....

Kutoa penalty ilikuwa kitu cha kawaida sanaa ...

ila ndio hivo sijui ederson alimpa Nini pep .....

Binafsi Kuna magoli ambayo anafungwa Ederson mpaka naona hapa angekua joe hart angezitoa ...!

Zack naye aliiga mautundu ya Ederson,akaishia kumpa goli la bure mane [emoji28][emoji28]mpaka Leo board inatafuta sehemu ya kumtupa Zack steffan.....
 
Deal lililobaki ni la cucurella na hapa nahisi tunasubili offer ya sterling ....

Sterling tu akiuzika basi cucurella anatua city mapema Sana [emoji91][emoji91][emoji91]..

Tofauti na hapo naona kabisa tuanenda kuanza msimu bila kuwa na mbadala wa RB maana walker asipokiwa fit mambo yatakuwa magumu hatari ....
 

RB atacheza Zinchenko, tatizo ni hapo atakapopata majeraha, we need backup.
 
RB atacheza Zinchenko, tatizo ni hapo atakapopata majeraha, we need backup.
Zincheko ni natural LB na ana nguvu Sana mguu wa kushoto .....


Cancelo -LB
Zincheko -LB

Walker -RB ...
Hapa anatakiwa kuja RB mwingine ,in case walker akipata injury ...

Ndio maana baada ya walker kuumia pep aliforce frenandihno kutoka kucheza mido mpaka RB ambako hajazoea akaishia kupigwa matobo na kina vinicius ...

Kiufupi uefa game zote mbili na Madrid tumehaso Sana RB ....

Zincheko na cancelo hawana na hawawezi kabisa kucheza RB utawaua
 

Nilikusudia kusema atacheza LB, nilichanganya,

Cancelo RB anaiweza vizuri, kiufupi Cancelo anacheza mbavu zote kwa ufasaha mzuri tu.
 
Nilikusudia kusema atacheza LB, nilichanganya,

Cancelo RB anaiweza vizuri, kiufupi Cancelo anacheza mbavu zote kwa ufasaha mzuri tu.
Kusema kweli tunashindwa kuwafaidi Hawa jamaa ,wanacheza wanatumia mguu mmoja wa kushoto ....wangekuwa flexible kucheza pande zote mbeli ingekuwa magoli ....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…