Vip kijana Cucurella tumepigwa?Hahaaa Hawa Liverpool hawana midfielders,soon watakuja kuomba pooooo siku zijazo [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vip kijana Cucurella tumepigwa?Hahaaa Hawa Liverpool hawana midfielders,soon watakuja kuomba pooooo siku zijazo [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ni zao la lamasia ,huko wanajua kutengeneze vijana wanaojua kupiga pasi zilizonyooka Kama rula mkuu ....Vip kijana Cucurella tumepigwa?
Mandoga naona umejiunga jf banaLeo lazima mfungwe sijui mtamfukuza kochq
Timu ganHii timu imeoza na haina dawa
Ila shukrani ziende kwenu kwakutunyima Ake Ndio maana tukaamua twende kwenye option ya pili Ndio alikuwa CucurellaHuyo ni zao la lamasia ,huko wanajua kutengeneze vijana wanaojua kupiga pasi zilizonyooka Kama rula mkuu ....
Cucurella ni mashine ile inapanda juu Kama Marcelo ,kiufupi mmepata bonge la LB