The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Vip kijana Cucurella tumepigwa?
Huyo ni zao la lamasia ,huko wanajua kutengeneze vijana wanaojua kupiga pasi zilizonyooka Kama rula mkuu ....

Cucurella ni mashine ile inapanda juu Kama Marcelo ,kiufupi mmepata bonge la LB
 
Leo lazima mfungwe sijui mtamfukuza kochq
 
Leo Dunia nzima inaenda kusimama kwa dakika 90 kuangalia mabingwa wa uingireza watakavokuwa wanawatwisha nyundo nzito westham huku Kila mtu akitaka kujua striker namba moja dunian haaland atafunga goli kutoka upande gani wa goli .....


Come on city ....!
 
West ham Leo wana kesi ya kujibu mbele ya vijana wa pep
 
Huyo ni zao la lamasia ,huko wanajua kutengeneze vijana wanaojua kupiga pasi zilizonyooka Kama rula mkuu ....

Cucurella ni mashine ile inapanda juu Kama Marcelo ,kiufupi mmepata bonge la LB
Ila shukrani ziende kwenu kwakutunyima Ake Ndio maana tukaamua twende kwenye option ya pili Ndio alikuwa Cucurella
 
Kama kawaida pep na grealish wake ,...kisa ile assist aliyompa halaand kwenye game na buyern munich ..

Daaaa ila grealish alimroga pep sio bure kabisa ,
 
Ake out in stone ..

Grealish out in Mahrez

Kwa gundogun sio mbaya maana anamapafu Kama ya Bernado Silva ...
 
Pass ya hovyo ameyopiga grealish mpaka pep akasimama [emoji23][emoji23][emoji23]jack sio creative kabisa ..!
 
Ake Yuko na utulivu kidogo ,Hawa westham ni wagumu kuwafungua aisee ,hawatanui uwanja wanakaa nyuma sana ,wanaukuta mgumu ,zinahitajika pass zenye macho Kama za foden ,kdb na Mahrez kuwafungua ...


HT westahm 0-1 man city
 
Grealish anatakiwa kutoka aingiee Mahrez ..!

Tunahitaji magoli mengi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…