The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nampenda Hallad ila siipendi Man city[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona Barcelona wamemtolea macho kweli Bernado Silva ,kuna kazi kubwa sana pep kumzuia Bernado kubaki ...!!
 
Basi we mwanga mkuu so kwa chuki hizo, City team ya watu kipenzi cha watu unaikataa vipi.
sio kwamba naichukiaa... ila sio shabiki yakee na me naamini ukiona mtu anashabikia man city jua kaanza kushabikia mpira juzi kazi au alihama timu
 
sio kwamba naichukiaa... ila sio shabiki yakee na me naamini ukiona mtu anashabikia man city jua kaanza kushabikia mpira juzi kazi au alihama timu
Kuna dhambi mtu akianza juzi au jana kushabikia mpira?

Acheni maneno ya kijinga wewe ulieanza zamani umefaidika nini?
 
Kuna dhambi mtu akianza juzi au jana kushabikia mpira?

Acheni maneno ya kijinga wewe ulieanza zamani umefaidika nini?
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€nisamehe mkuu... wew ni shabiki bora wa man city umeanza zamani sana
 
Kuna dhambi mtu akianza juzi au jana kushabikia mpira?

Acheni maneno ya kijinga wewe ulieanza zamani umefaidika nini?
Hawa walianza zamani wapi ,mashabiki Kama wa Liverpool utakuta wanajitapa et Wana makombe ya epl 19 ,lakin wakati hayo makombe yanachukuliwa hakuna hata mmoja kwenye Uzi alikuwepo ....! Epl imeanza 1990 watu wa 1990-1996 Hawa hawezi kuwa mashabiki wa Liverpool,labda wawe wamefuata mkumbo ....!

Am sure mashabiki wengi wa Liverpool wamekula age ,wako 40+ ,wengine wote wamefuata mkumbo ,yaan wamekuta kaka anashabikia Liverpool na yeye kafuata ,mjomba anashabikia Liverpool,baba,au marafiki ...
 
Ishu hapa sio Pep.
Pep pamoja na uongozi mzima wa City wanataka hii well-oiled machine ibaki, tatizo ni Bernardo mwenyewe,
Kuchezea Barcelona ilikuwa ni ndoto yake ya muda mrefu.

Asilimia kubwa ya wachezaji wote Duniani wana ndoto ya kucheza either Barcelona au Real Madrid.

Policy ya Man City pia huwa wanamsikiliza zaidi mchezaji anataka nini, kama unataka kuondoa milango iko wazi, Bernado ametaka kuondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…